Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

“Falasy” na “Fakeology” ndio nini sasa?

Hebu get your English Skills together,maana skills zipo ICU!

Wanaume wanapigwa kila siku

Watoto wanapigwa kila siku

Na wanawake wanapigwa kila siku pia

Whats the fuss?
Maybe you should upgrade your urban dictionary Mr.

The fuss was Mihayo being a guest at the 'Men' podcast session last week claiming that he survived a toxic relationship/marriage


from that footage who was the toxic one?..
And Nacky was interviewed by Clouds Radio today you should atleast view it to fully understand who ur nigga really is
In a nutshell that beating happened 6 months after their separation he js came to see the children
 
Yule Jamaa dar aliona asipoteze muda saana, akamchimbia shimo, akamuwekea na gunia za mkaa juu yake, aka apply fire, maana wanawake hawasikiagi, huyu kwenye picha hajapigwa vya kutosha, anaweza mpaka kutembea !, baada ya kipigo ilitakiwa abebwe na machela.
mleta uzi anasema kapigwa kipigo cha mbwa mwizi,mihayo naye bwege kweli,sasa ndo kipigo gani hicho si bora asingempiga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes, wengi wanaokoteza hawajui lolote. Nimefanya sana kazi na Mihayo ni mtu poa sana japo anamapungufu yake lakini ni mtu haswa na anajua kuitafuta pesa.

Huyo ex wake ni wale wanawake wasiofugika jamaa sababu wakishua hajui sana purukushani za mjini akaingia mkenge. Walishaachana na Mihayo ameshinda mahakamani lakini huyo mwanamke bado anaendeleza vita ya kumrostisha mshikaji ameamia kwenye media.
sijui kwa nini watoto wa kishua huwa wanaokota sana matango pori, mwingine ni yule mtoto wa mwakasege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nioneshe sehemu ilipoongelewa kupigwa kwa kiumbe chochote ambacho sio mwanamke nikasema wasisemewe. I’ll wait

Otherwise hili povu lako la kleesoft kamtolee mwingine si mimi.

Wote si wanadamu sio?

Mpaka waongelewe?

Wanawake bwana,mna high level of compartimentalization!

Wewe kwa utashi wako umeamua wanadamu wengine ni mavi mwenye uzito ni mwanadamu anaeitwa “mwanamke” maana ndie aliepigwa hapa,wengine wote chinjia baharini?

Nikutolee wewe povu maana ni that important?

Nimetolea povu unafiki unaoongea hapa ku-justify mwanamke kupewa special treatment hata kama amekosea wakati wanadamu wengine wote wanapitia the same shit!

Utakua Mpare wa akina huyo Naki!

Sijui my nigga Wilmore nini kilimtuma kuoa Mpare wa mjini,nigga atakua na poor level of judgement aisee!
 
Kama upo karibu na Juice bar yeyote take a glass nitalipa! Very well said.

Hakuna justification ya mtu kupigwa na kuburutwa namna hii, ukipigwa unakuwa umedhalilishwa na kutolewa utu, binadamu anatakiwa kupewa adhabu zitakazotunza ubinadamu wake hata kama yeye mwenyewe ni “mbaya”kiasi gani. Halafu kumpiga mwanamke ambaye hawezi hata kukurushia ngumi moja nao ni ugonjwa wa akili. Kama kuna chochote Nack alichofanya kwa jamaa yake hili la kupigwa halifit kama justification. Uliza sababu utaambiwa sijui usaliti, sijui ma nini nini, swali huyo kaka hajawahi msaliti mkewe? Au hajawahi mfanyia chochote kibaya! Is he malaika Gabriel or something like that, Holly! No no no! Mbona ye hakupigwa hivyo? What’s your point men! To me binadamu yeyote hatakiwi kupigwa leave alone a woman!

Sipati picha mangenita angekuwa katika ubora wake wa U Turn angeandika nini mbaya wake anapokaangwa hehe!
hapo amepigwa au ameguswa? unaelewa maana ya kupiga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeongea kitu ambacho nilikuwa nawaza.
Hawa watoto wakike hawa ni shida yawezekana kabisa mali ndio ilikuwa hesabu yake na hata sasa hivi kufukua hili kaburi ukute bado anamuwinda jamaa.
Huyu jamaa ni mtu mmoja poa sana. IT & Marketing genius fulani.
Kilimcost sana kuoa huyo dada yake le mutuz kwa mama yake wa kambo .

Mihayo yuko very focused lakini alipata mke ambaye anapenda starehe za town mtoto wa Kinondoni matokeo yake akawa anapigia hesabu mali za mchizi.

Na kumpeleka resi sana mchizi anarudi kula bata late mke wa mtu hata kama ndio uzungu huu ulipitiliza . Sema kwa hiyo clip nimeamini binadamu uki mpush kwenye edge anaweza akaua mtu bila kutarajia. Lazima kuna sababu kwanini demu kala kipondo kile.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yupo jela lakini moyo wake mweupeee yupo free amerelease stress zote,wanasema bora majuto kuliko fedheha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kichaa si lazma uokote makopo

mimi huyu nione jela ni bora kuliko uraiani kisa binadamu nnaeweza tengana nae au mpotezea..NEVER

Endeleeni kunyea ndoo..smart people learn stress and conflict management
 
Comment yangu moja umeijibu mara mbili, na unaniletea cases tofauti kujustify upigaji, basi ngoja nikukubalie mwanamke anapigwa, na tena anapigwa sana, mwanamke ndiye mtu pekee hukosea duniani, hivyo kumpiga ni haki kabisa. You happy now!?

Ujue nimewasoma na kuwasoma tena, imebidi nianze kutafakari upya, hivi kupiga kwenu ninini? Kwanini mnaamini sana katika kupiga? Je ni kukomoa, kurekebisha au kumaliza hasira? Ama ni matatizo ya akili na hamjijui? Maana kila mtu anajimwambafy kuwa ni lazima kupiga na hamna namna!

Naendelea kusimama hapa, siafiki mtu kupigwa no matter aina ya kosa alilokosea, kupiga ni uonevu, unyanyasaji na udhalilishaji, na mwisho sifikirii kama kuna matokeo chanya juu ya upigaji. Nitaendela kusimama hapa hapa.

Africa tunapigana sana na hakuna chenye kinabadilika au kuleta unafuu, watoto majumbani wanapigwa, shuleni wanapigwa, wanawake wanapigwa, watu wanapigana ovyo mitaani, nini shida katika akili yetu? Note: sio kwamba race zingine hazipigani, lakini utaona reaction ya watu juu ya upigaji ndiyo inayotutofautisha sisi wa bara giza na wale. Huku ukireact kupinga upigaji you will be called names, Je ni kweli upigaji unasaidia kitu!?Hebu wapigaji mtuambie hapa.
tunawapiga ili kumaliza hasira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshaurini aondoke kama ni mshkaj wenu...watamuharibia mbaya aisee
Huyu jamaa hana undugu na jaji mihayo.

Huyu ni mnyamwezi wa Tabora na Black American. Ana uraia wa marekani sababu Baba yake marehemu alikuwa ni African American. Dogo kapiga shule Mtoni na yuko super smart kichwani. Ana maadili pia ya kiafrika na heshima na mtu wa watu sana hajisikii.

Yuko njema cribs tatu nne za maana, Mandinga ndio kama yote ya maana halagu janki mdogo. Ana proffessional network ya kufa mtu duniani. Yukovizuri Us embassy inamtambua na inampa fursa sana kama kijana smart

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom