Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Swali la kujiuliza kwanini nacky apigwe vile na kwanini clip itolewe sasa hivi

Mihayo VS Nacky. Mume alishinda kesi ya madai iliyofunguliwa na Nacky mkewe aliamuriwa amlipe mamilioni mia kadhaa kwa usumbufu na matatizo aliyoyasabisha. Demu alikuwa anataka mali ambazo zimemilikishwa watoto wao.

Demu kwa sasa hali ya kifedha yuko vibaya ndio maana kavujisha hii clip ili umma umuonee huruma.

Sababu ya huyu dada kupigwa ni kufumaniwa akitembea na rafiki wa karibu wa mumewe. Ambaye ni baller hapa town huyu jamaa. Vijana wa Tigo wanajua hii story.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nakubaliana na wachangiaji waliopita kwamba hadi unaona mwanume anampiga mwanamke ujue kuna sababu.. tena sababu nzito tuu ( I had my reason also). But my point is beating is not a solution in my view... perhaps “ku misbehave” kwa mwanamke kunaweza kua kwa ujinga wake au hata wewe mwanaume ukawa umechangia kwa kujua au kuto kujua.

A man is here on earth to provide security.... to love her woman .... not to beat her! In my view lakini!!!
 
Mwanaume oa mwanamke wa level yako...or else utaishia jela mara umepiga mara umeua ...nimesikiliza intavyuu ya jamaa nimemuona bogus kweli...siku zote ataekufanya mwanaume uendelee ni mwanamke. mwanamke wako akiwa anataka ghorofa utafight kujenga ghorofa..mwanamke wako akiwa anataka range utafight kupata range....sasa wewe kama unaona unaonewa kwa yeye kukwaambia tunahitaji kuishi namna hii tutoke hapa jua huyo sio level yako ...na mwanamke ambae unaishi Chumba kimoja na yeye karidhika hakusumbui jua hamtafika kokote bro..ni hayo tu
hayo mahojiano yapo YouTube?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I am not saying you should all agree with me.
Mzee mwanamke akisha amua jambo lake atalifanya tu... utampiga kila siku?
Your muscles are there to protect not otherwise... you are a security not a war zone.

There is a reason we have two heads (am joking).

Bro,listen.....your wife is holding a knife and charging towards you,then what next?
 
Kuna makabila wanawake wakipigwa ndiyo anaona anapendwa ,lakini turudi kwenye mada nitazungumzia mambo mawili moja ukiona mwanaume amefiki hatua ya kumpiga mwanamke ujue ana mapenzi ya dhati kabisa na amestik na mwanamke huyo huyo hana michepuko so huwa inauma kwa mwanaume kuwekeza akili na nguvu nyingi kimapenzi kwa mwanamke anaempenda haswa na akachezewa akili na huyo mwanamke, so likitokea jambo ameona mienendo ya huyo mwanamke inaenda ndivyo sivyo huwa inatia hasira na ni ngumu kujizuia kuparangana nae

Jambo lingine ni mdomo wa mwanamke, mwanaume akioa mwanamke mwenye mdomo ukweli ni kwamba atapigwa tu hakuna namna, na sio kwamba mwanaume ni hulka zetu kuwapiga wanawake sema ni midomo ya baadhi ya wanawake, kuna mwanamke anaweza akakusema yani hasira zikipanda kushuka ni mtihani,so maamuzi unakuta ni kupiga.
vipi una uzoefu nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwa sifa ulizozitaja hapo unafikiri Angemuua hyo Dada asingeenda jela
Kama mwanamke anamzingua aachane naye
Tena anampa hadi vikwazo vya uchumi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Jela kama ni kwenda utaenda tu, siyo lazima ufanye kosa. Hapa ni Africa.

Labda kama wewe ni zezeta tu kwenye duka la mhindi unaweza kuwa spared
 
Bila shaka wewe ni mkurya,haiwezekani ukatetea mwanamke kupigwa namna hiyo
Mimi ni Mzanaki.

Mwanamke akiniletea uswahili lazima nimbutue mabuti, iko hivyo.

Mimi siyo mswahili swahili wala sitaki unafiki. Kama mwanamke anataka kukaa na mimi ni lazima aweke uswahili pembeni.

Hayo mambo ya mahaba nawaachia ninyi watu wa pwani ( maana huku huwa naona hakuna tofauti ya mwanaume na mwanamke, ni mdomo vibration mwanzo mwisho ).
 
Kwa experience yangu ndogo, kuna wanaume ambao kupiga ni hulka yao ambao hawa ni nadra sana kukutana nao yaani katika mtaa mzima wanaweza wasifike watatu

Kuna wengine unakuta amewekeza kwa mtu mmoja, wapole na very faithful halafu unakuta mwanamke anatumia hiyo chance kumnyanyasa maana huwaona mabwege. Hawa mazoba siku wakichoka huwa hawatabiriki reactions zao. Ukisoma comments za watu wanaomjua utaona aliangukia katika group la pili. Alifanya vibaya lakini kwa upande wa pili ni victim pia
ukimpenda mwanamke anakuona fala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha wote tuwe malaya nyumba iitwe dangulo 😂 😂 😂 😂
Kutana na mabazazi wote wa mjini. Wanachomeka kwenye kila tundu wanaloliona.
Miaka 30 tu umekongoroka kama Guta.

Endeleeni na mashindano
 
Huyu jamaa hana undugu na jaji mihayo.

Huyu ni mnyamwezi wa Tabora na Black American. Ana uraia wa marekani sababu Baba yake marehemu alikuwa ni African American. Dogo kapiga shule Mtoni na yuko super smart kichwani. Ana maadili pia ya kiafrika na heshima na mtu wa watu sana hajisikii.

Yuko njema cribs tatu nne za maana, Mandinga ndio kama yote ya maana halagu janki mdogo. Ana proffessional network ya kufa mtu duniani. Yukovizuri Us embassy inamtambua na inampa fursa sana kama kijana smart

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hili alilolifanya daah am not sure km yataendelea hayo yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wote ni binadamu na wote tuna damu na nyama, usitende kosa kumuumiza mwingine kila mmoja ana ustahamilivu wake, kama mumeo hakufai ondoka usije kwake kujiegesha upate hadhi ya mke wakati hutimizi wajibu wako, acha wanyukwe kwa sababu kwanza ni wanafiki wanataka ulimwengu uwaone tofauti na walivyo pili wanumiza wengine, unyukwe ujirekebishe au uondoke au uondolewe. Mbona vipoko wanachapwa watoto kwani ni mzazi kashindwa kujisimamia?
akikujibu unitag

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom