Dr. Chapa Kiuno
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 443
- 18
kutoa mapepo ni uongo wa wahubiri kutafuta pesa...ni sawa na waganga wa kienyeji wanavyojidai kwamba watakutibu kumbe kanyaboa..soma achana na mapambio ya wajanjaSiku ya mwisho au kiama ndo tutajua pumba ni zipi na mchele ni upi. Mambo ya kusema kutafuta ukweli sizani kama huyo tumaini anao ukweli zaidi ya porojo tu. Mimi naomba niulize kitu kimoja kwanini ukitaja jina la Yesu tu mapepo na majini yanamtoka mtu na sijawahi kusikia ukitaja jina la mtume Mjamadi yakatoka?
ni afadhali ukahakikishe kama wanachosema ni kweli au uwongo halafu uamue kuliko kufuata uwongo mpaka lini?
Je inawahusu nini? hayo ni maagizo ya dini ya uislamu kuwalingania wasio waislamu kwamba mungu ni moja wala hana mwana wala hajazaa...
Kwa kweli wananishangaza sana alaf wala hawafuatiliwi... Yaani wamekaa kiukorofi zaidijuzi nimepita manzese wapo pale wanaendeleza mambo hayo hayo, kwa nini wasitumie muda huo kutangaza dini yao badala ya kukashifiana?
juzi nimepita manzese wapo pale wanaendeleza mambo hayo hayo, kwa nini wasitumie muda huo kutangaza dini yao badala ya kukashifiana?
Kwa kweli wananishangaza sana alaf wala hawafuatiliwi... Yaani wamekaa kiukorofi zaidi
Kwa ujumla wenzetu hao wana a serious inferiority complex ambayo matibabu yake ni sala kwa kwenda mbele. WASHINDWE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wanauponda ukiristo ili watu wahamie uislam.Ofcourse ni mbinu ya kizamani lakini inawasaidia wanapitisha siku.
Duh! hii kali.The Qur'an (Koran) says that:-
Allah desires to lead people astray (Qur'an Sura 6:39, 126).
He does not help those who are led astray by him (Sura 30:29),
and Allah desires to use them to populate hell (Sura 32:13).
Ya totally ryt mkuu. ThanxLakini kuna jambo moja dhahiri ni kua wengi wanaoendesha mihadhara hii ni waganga njaa waliokubuhu, wanajua watu masikini mara nyingi hata uelewa wao unakasoro kwa maana ya kiwango duni cha elimu.
ukitaka kujua kua ni maswala ya kukidhi njaa, mwisho wa mihadhara hii wanaanza kuchangisha pesa.
maisha yangu yote yakuishi hapo Dar es salaam watu hawa hujikita maeneo ya Buguruni, Manzese,Temeke,Tandika, Mtoni na Yombo. ni ngumu kuwakuta Masaki, Mbezi Beach, Segerea, Sinza,Mwenge///hawaendi huku kwa sababu kiwango cha uelewa cha wakazi wa maeneo haya kipo juu, hawawezi kusikiliza kelele za Yesu si Mungu kisha mwishoni wakupe pesa, nenda kapige kelele Masaki/Obey kama hukupigwa bakora na polisi..Mihadhara ni dalili ya Uduni wa akili na upofu wa mawazo.