THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,226
- 2,025
Kuna ukweli mkuu
Pole sana aisee sasa hembu tuongee unapokutana na kibamia wakati huo hamu imepanda full nafanya maamuzi gani maana tayari mpo faragha halafu umeita jeshi lote kupambana na vita kubwa?
Saimon 111 sisi wanawake ndio tunajua na walengwa wa vibamia wakiona hii post wanakubali kiaina ila hawawezi kusema kama wanavyo!
Na hawa watu labda wakutane na mabikra au watoto wadogo sana ndio wataweza kuendana tofauti na hapo mtalalamika sana tuna marambo wakati zana zenu hazifai kwa matumizi ya binaadam kabisa!
Yaani mtu anakibamia mpaka mwenyewe anaona aibu kukuvulia nguo??
Duh sasa unamsaidiaje maana kakupiga mistari umekolea mpaka mmepanga mechi uaningia uwanjani unakuta mpira ni pulizo? hahahaaaaa
Usinipe pole mimi kwasababu nimeolewa tayari na ambaye nimeridhika naye tukiwa faragha!yaani vigezo ninavyovitaka tukiwa faragha na mambo mengine yeye anavyo na tunaendana ndio maana tukaoana.
Ila pamoja na kuolewa nilikuwa msichana pia kwa hiyo hizo changamoto nimeshawahi kukutana nazo ndio maana nimeshare idea kwa sababu najua.
Ukishakuwa faragha na mtu wa namna hiyo huwezi kuahirisha mechi ila utacheza chini ya kiwango na hasira tele
Hahahaaaaaa uuuwiiiiih aiseee unaniua na kicheko hasira tele! Duh hiyo kali
Ahahaha!!hapo ndio linakuja suala la kuwaita wanawake magogo kwa maana ameshakuwa dissapointed,mood imeshuka na mzuka wote umeyeyuka kabisaaaa!!!!lazima ucheze chini ya kiwango.
Umesema ukweli mpaka nimekupenda maana kweli ni sawa na mwanaume awe amejipanga Kwa fujo halafu akute kunamapungufu katika usafi yaan kama mwanamke ni mtangazaji atapata cha kutangaza maana atasema mmh mnamuona yule na HB wake wote hana lolote kamoja tu hoi kumbe yeye ndo kavuruga mambo bila kujua
Hilo pia lipo kwa kila upande,watu wanashusha sana mizuka ya watu halafu mwisho wa siku wanatoana kasoro ambazo wameahindwa kujua chanzo kama ni wao wenyewe
Sasa hapo utamu kwenye miguu unakuaje??
mkichagua ss tunaotembelea mikono itakuwaje?
Kuna uhusiano gani kati ya miguu minene na utamu wa K we mbulula?