Miguno, vilio, sauti za mahaba ukiwa kitandani

Miguno, vilio, sauti za mahaba ukiwa kitandani

Mwanaume kamili sifa namba moja ni kujikaza , unapokuwa na hasira ama uchungu sana unatakiwa kujikaz, kadhalika furaha ama raha sana ni kujikaza! Ndio uanaume huo.
Sasa kaka Penda, unaleta mikazo ya kiuanaume kitandani wakati wa kudinyana? wakati hapo ndiyo sehemu pekee unatakiwa kujiachia, hebu usijinyime hivyo 😅
 
Miguno inaongeza ashki

Hata kama ulikuwa na nguvu za kubangaiza kama sisi Babu zenu, unajikuta unajikongoja hata safari mbili unaweza kwenda 😅

Japo miguno ya automatic, ndiyo mizuri zaidi kuliko ile ya kuigiza
Kumbe hadi nyie wazee huwa inawapa pumzi zaidi.
Inapendeza sana na ni kweli miguno itoke naturally na siyo maigizo!
 
Binadamu baada ya kuona nyau analia wakati wa kudinywa nae akaiga
giphy-downsized 5.GIF
 
Ungesubiri uchaguzi upite kwanza dada, mange kimambi kasimamisha umbea kwanza nuie mnaaanza dah, au ndo kazi na dawa


Fullstop, kwishaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom