Miguno, vilio, sauti za mahaba ukiwa kitandani

Miguno, vilio, sauti za mahaba ukiwa kitandani

Huyu kijana anaonekana anapenda sana kamnyweso, si atakuwa ananirudia nyumbani alfajiri sitaki mie😅😅
Anaweza kulewa penzi lako 🤣🤣🤣 akawa anarudi jioni mapema tu, saa kumi na moja kasoro yupo home.

Anaichapa akitoka kazini, anaichapa mkitaka kulala na unaamka imo, inatandikwa tena 🤣🤣🤣 hapo ndiyo utawish bora angekua mlevi wa kamnyweso 🤣
 
Unanikosea sana singasinga kuniita blaza 🤣🤣😅

I love J cole toka kitambo, jioni hii nilikua nasikiliza 3 of my favs from him, love yours ni mojawapo.

View attachment 3455736
Nisamehe Madam wangu kwa kukuita blaza 🙏🏾 😃 basi mwenzio nikabet the next song itakuwa Power Trip kumbe ni Crooked Smile 😄😄😄 sema we unanifaa nice pick hebu nionyeshe playlist yako kwa urefu nione test yako zikimatch tu ujue tiyali (tayari 😂) kimeumana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom