ApolloShadow
JF-Expert Member
- Jul 19, 2025
- 925
- 1,959
yani wananinyanyapaaa hawa, hadi nawaza kwenda telegram 😭😭Mpende basi kijana wangu ApolloShadow ujue tuko pea humu ndani isipokuwa mimi beb wangu sijamuona kitamboo😭😭😭😭
yani wananinyanyapaaa hawa, hadi nawaza kwenda telegram 😭😭Mpende basi kijana wangu ApolloShadow ujue tuko pea humu ndani isipokuwa mimi beb wangu sijamuona kitamboo😭😭😭😭
Unqolewa na nani tena au na huyu mha....ribifu HarmfulKijana atafute mwingine soon naolewa mie jamani🤣🤣
Telegram teeeena ohoooooo na wewe ni hand user🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yani wananinyanyapaaa hawa, hadi nawaza kwenda telegram 😭😭
Sina tabia ya kudanganya 😅 Vibesi muhimu.Hahaha!!! Unasema ukweli mtupu
Singasinga wa Migo Migo unategemea nini 😂😂😂 Upanga huwa naenda kuwasalimia tu mablazaSingasinga hauvumi lakini umo 😋😅😅 mambo mazuri 💯
Hatari na nusu 🤣🤣Singasinga wa Migo Migo unategemea nini 😂😂😂
Sawa jiandae bas kutoa miguno majirani wakina Apollo wakilalaUtakaloona wewe linafaa😝
🤣🤣🤣atakuja kutubomolea mlango huyoSawa jiandae bas kutoa miguno majirani wakina Apollo wakilala
Kweli kiongozi hii kesi ni nzito 😂😂😂😂😂😂Kuquote tu jamiiforums hawezi unataka nibambikwe MIMBA mimi, wakati nina pisi yangu hapa jf kali kuliko zoooooteee🤪🤪🤪
Amekuwa muharibifu tena.... subirini tuwashangaze, jiandaeni kuja kwenye sherehe 😅😅Unqolewa na nani tena au na huyu mha....ribifu Harmful
Akibomoa style atakayokuta nimekuweka anaweza kujinyonga mwambie asijaribu 😅🤣🤣🤣atakuja kutubomolea mlango huyo
Amkaaa amkaa usije ukamwaga hapo kitandani halafu sikiliza hii dedication 🤣dah! mda kama huu waifu material tungekuwa kwetu, tunakula upepo wa bahari, umelaza kichwa kifuani wachezea garden love huku nakusimulia tu hadithi twa hapa na pale huku nikikumbeleza 😁
Aya sasa naona ushajinyakulia bebe, me sijui ndo nimeachwa au vipi 😭😭😭🤪🤪Sawa jiandae bas kutoa miguno majirani wakina Apollo wakilala
🤣🤣🤣asije akajinyonga bure kijana wa watuAkibomoa style atakayokuta nimekuweka anaweza kujinyonga mwambie asijaribu 😅
Ayaaa bhana ila we mbaya tu🤣🤣🤣Amekuwa muharibifu tena.... subirini tuwashangaze, jiandaeni kuja kwenye sherehe 😅😅
Huyo unaemtag mbona sijawahi kumuona au akaunti yako nyingine 🤣🤣Aya sasa naona ushajinyakulia bebe, me sijui ndo nimeachwa au vipi 😭😭😭🤪🤪
Ila bebe kali ileeew na uhakika kuliko waifu material 🤪🤪🤪🤣🤣🤣
Bebi sweery wakija kukutongoza waambie una mpenzi,🎶
Maneno ya mkosaji🤣🤣Ayaaa bhana ila we mbaya tu🤣🤣🤣