kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,178
Too much is HarmfulKwahiyo unataka nijiite love man
Ila kwa mwanamke kawaida kuogopa vitu vidogo kama hivi na hiyo ni sifa ya wife material kwahiyo nipo tyr kukulinda usiwaz
Too much is HarmfulKwahiyo unataka nijiite love man
Ila kwa mwanamke kawaida kuogopa vitu vidogo kama hivi na hiyo ni sifa ya wife material kwahiyo nipo tyr kukulinda usiwaz
Shida unawaza MIGUNO na uzeee huo, ukitulia utaelewa anamaanisha nini 🤪🤪Kweli mambo ya vijana, mie hata sielewi kinachoimbwa 🤣
Tena wewe ndo umekubuhu aliyesahau boxer jana pale Jordan guest house ni nani🤣🤣🤣🤣thijawai fanya mathusi 🤪🤪.. nathimuliwa tu
Husband material 😅😅Kwani we unataka jina au husband material mbona unachanganya madawa wewe 😅
Naomba ni dedicate nyimbo kwenda kwa mtu Fulani je naruhusiwa?Kweli mambo ya vijana, mie hata sielewi kinachoimbwa 🤣
Achana na jina kama unataka husband materialHusband material 😅😅
mmh! boxer hata sivaagi huyo sie mie kabisaaa 😅😅Tena wewe ndo umekubuhu aliyesahau boxer jana pale Jordan guest house ni nani🤣🤣🤣🤣
Lini tunafunga hiyo ndoa😂😂Achana na jina kama unataka husband material
Sikia sasa watu wanabisha sana hodi kwako kuwa free kupiga nao story mume wako nakusubir tufunge ndoa 😂
Unavaa nini kama huvai boxer😂😂mmh! boxer hata sivaagi huyo sie mie kabisaaa 😅😅
dah! mda kama huu waifu material tungekuwa kwetu, tunakula upepo wa bahari, umelaza kichwa kifuani wachezea garden love huku nakusimulia tu hadithi twa hapa na pale huku nikikumbeleza 😁Lini tunafunga hiyo ndoa😂😂
Kwahiyo mkuu mjegeje unatembea kushoto-----> kulia unanchekesha eh eh eheeeemmh! boxer hata sivaagi huyo sie mie kabisaaa 😅😅
kapili nikabane bane ka nini, nakaachaha kana ning'inia banaaUnavaa nini kama huvai boxer😂😂
😅😅 ndio ivyo mkuu, sijui boxer wala chupi toka utotoni aiseeeKwahiyo mkuu mjegeje unatembea kushoto-----> kulia unanchekesha eh eh eheeee
Ni wewe tu me nipo tyr ila Hawa vijana unaowadanganya jaribu kuwapunguza wasidhidi watano ili tuishi kwa amaniLini tunafunga hiyo ndoa😂😂
Suruali ikichanika si utatembea uchi😂😂kapili nikabane bane ka nini, nakaachaha kana ning'inia banaa
wa kuichana hayupo sasa , 😅 😅Suruali ikichanika si utatembea uchi😂😂
😎😂kumbe una wivu eehNi wewe tu me nipo tyr ila Hawa vijana unaowadanganya jaribu kuwapunguza wasidhidi watano ili tuishi kwa amani
Una mawazo ya mbali sana🤣🤣dah! mda kama huu waifu material tungekuwa kwetu, tunakula upepo wa bahari, umelaza kichwa kifuani wachezea garden love huku nakusimulia tu hadithi twa hapa na pale huku nikikumbeleza 😁
Unaruhusiwa ila naona ushakua banned maskini 🤣🤣Naomba ni dedicate nyimbo kwenda kwa mtu Fulani je naruhusiwa?
Fullstop, kwishaaaa