Migomo mipya vyuoni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Migomo mipya vyuoni.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ilonza, Dec 9, 2011.

 1. I

  Ilonza Senior Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ongezeko la seat allowance zaid ya mara tatu ya mwanzo, inasikitisha sana. Nawaomba wanazuoni wanaopata elimu for liberation to think about this. Wabunge wanadai kuongezeka kwa gharama ya maisha, je wanafunzi ela watapata wapi kwa mfumuko huu wa bei? Je raia wakawaida wanaesabiwa wapi?. Zito kabwe aliisha wahi kuwaomba wabunge wenzake kuwa viongozi na si waitaji wa ela. Kuna tatizo la umeme wao hawaoni, walimu wana nyimwa madai yao, waitimu wa vyuo hawapewi ajira, sasa je wenyewe ela wanapata wapi ya kujiongezea. Note that, about billion kumi nane na milioni tisini zinalipwa kwa wabunge wote ndani ya siku thelathini(Tshs1890000000/=). Hizo pesa zidisha mara siku wanazo enda bungeni kwa mwaka, hapo mishahala bado, na marurupu mengine. Watanzania tufumbue macho ni hali ya hatari.
   
 2. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Hili tatizo si wanachuo peke yao, ni la kila mtanzania. Kwanini unataka kuwepa majukumu yako, na kuwasukumizia wanachuo?.
   
 3. Uluwaru

  Uluwaru Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mapinduzi yanaanzia popote.Wanachuo wanayaona haya kwanza kabla ya mwananchi aliye kijijini asiyekuwa hata na radio.Ni vema tukayaamasisha haya kuanzia chuoni
   
 4. I

  Ilonza Senior Member

  #4
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mapinduzi mengi duniani yanaanzishwa na wasomi, hacha woga kijana la sivo utakufa maskini.
   
 5. JUKUMU

  JUKUMU Member

  #5
  Dec 9, 2011
  Joined: Apr 5, 2009
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Migomo ya wanachuo siku hizi haina tofauti na tigo, leo ipo hewani kesho haipatikani......waoga, wanafiki na wajinga ndio wamejazana tu huko. Mtakufa mkiwa macho msipofikirisha akili zenu!

  Fikiria usemi wangu usije ukakurupuka kujibu.
   
 6. I

  Ilonza Senior Member

  #6
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haya bhana lkn mwisho wa mwisho wa mwisho nature will select.
   
 7. D

  Doticom Member

  #7
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 18, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  I like that bt The problem Tanznians are not aware of what take place.
   
 8. G

  Gread godwin Member

  #8
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Migomo chuoni siku hz inapotea coz vibaraka ni wengi kuliko wanaharakati hasa UDOM kwisha kabisa watu wanaogopa kufukuzwa na wanaofia viapo vyao vya maandishi vya kutogoma!
   
 9. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Tatizo sisi watz tunaongea sana but we do not put into practise what we are talking!
   
 10. C

  Caros Member

  #10
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Malalamiko kama haya yamesha ripotiwa saaana lkn mwisho wake ni MAUMIVU!!
  Kwanini tusifate nyayo za Mchungaji Mtikila!!??
  Ingawaje wengi huwa hawamwelewi huyu jamaa lkn ukimchunguza kwa makini ANAJUA nini anacho kifanya,kwa kukimbilia MAHAKAMANI!!Tukumbuke kesi ya Ugombea Binafsi wa Raisi nk,cha msingi hapa ni kujadili HOJA/LALAMIKO hili la Kuongezewa POSHO kwa wabunge Je ni HALALIIIII!!????Kwa kushirikiana na Ma-Schoolars tukijua kuna kosa ni kwenda MAHAKANI kufungua Kesi ya msingi KISHERIA!!Hapo hakutakuwa na vurugu wala uvunjaji AMANI na tufanye hivi kwa yale yooote tunayo ona yanahitaji MAREKEBISHO mtaona mwisho wake!!
  Ndg zangu wana JF SHERIA NI MSUMENO,HAKIKA KAMA UNADAI JAMBO LA HAKHI KWA HAKHI UTASHINDA!!

  MUNGU IBARIKI TANZANIA,TUJALIE AMANI NA UPENDO...WAMULIKE WOOTE WENYE UBINAFSI [​IMG] KWANI WEWE NDIWE MUWEZA WA YOOOTE!!amen[​IMG]
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kwanni wamwita kijana wakat huyu ni MZEE?
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Labda wewe
  mimi wakat nas0ma niligoma,nilipgwa mab0m,lakin leo hii mdogo wangu analipiwa 100% tena alipata div 3,sera ya mkopo 100% kwa wanasayans ilikuja baada ya kug0ma vyuo zaid ya vitano na kufungwa zaid ya miez mitatu!
   
Loading...