Migomo kuamuliwa na mahakama!!!!

KAMBAKO

Member
Dec 18, 2011
11
0
Serikali yetu juzi ilikimbilia mahakamani kupata uamuzi kwamba mgomo wa madaktari ulikuwa batili. Mimi naomba tafsiri sahihi ya mgomo kwa sababu mgomo niuonavyo mimi ni mapambano kati ya mdai na mtoaji wa haki. Ninapoamua kugoma ni kama kuingia vitani na sitegemei mtu yeyote au mamlaka yeyote iniambia vita ninavyopigana ni batili au halali.

Ipo siku moja Mahakimu watagoma watakapo kosa mishahara yao, au pale mamlaka yao itakapoingiliwa na mamlaka zingine, na hapo nitapenda kujua kwamba mgomo huo utakuwa halali au batili, na ni nani atakayetoa uamuzi huo:cool2:
 
unajua mkaka, unapotaka kufanya jambo, ni lazima uwe na elimu nalo, then sometime unapotaka haki yako, usivunje ya mwenzako!!!! Mgomo ni batili!
 
Back
Top Bottom