Migomo: Kenya Vs TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Migomo: Kenya Vs TZ

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaJambazi, Dec 7, 2011.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Yaani kwa akili ya kawaida tu utaona migomo ya walimu na hata wa sasa wa Madokta imeenda shule.

  Migomo ya tz ni ya kuviziana tu haina usiriazi hata kidogo,sijui ni kiwango cha ilmu au nini?

  I wish ningekua Mkenya.
   
 2. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nyumba ye nye matatizo haikimbiwi na badala yake hutafutiwa suluhu ya tatizo ililonalo, hivyo suluhu sio kuhamia nyumba ya jirani ambayo kwa kwa maoni yako wanafanya vizuri. Jifunze walivyofanikisha nawe utumie mbinu hizo kama kiongozi ukiwa hapahapa.
  Kumbuka Tanzania itajengwa nawenye moyo wa kweli na sio tunaolalamika kwamba mambo hayaendi, atayapeleka nani kama sisi wenyewe (wananchi) tunajihisi jukumu hili sio letu?
   
 3. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Madaktari wamegoma Kenya hawajapigwa mabomu wala nini sisi kwetu...
   
 4. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Sisi huku hata tukiandamana kupinga posho ya laki 200000 kwa siku,,polisi anayelipwa 200000 kwa mwezi anakuponda marungu.

  Mara intelijensia inagundua alshabaab wanampanga wa kuwalipua kwenye maandamano.
   
 5. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu kuna darasa jingine hapo, elewa kwamba hata tukichagua upinzani tusitegemee mabadiliko kwani siasa ni siasa.
   
 6. Mbayuwa2

  Mbayuwa2 Member

  #6
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, lakini walimu wamekuwa wananyanyasika sana kila kukicha, hebu fikiria kila siku wanalia njaa, hata zile biashara za maandazi, ubuyu, ice cream mashuleni ambapo walikuwa wanajipatia angalau nauli, Serikali imezipiga stop. Je ni waalimu hawa hawa wakitishia kugoma wanadanganywa kama watoto mara tumeshaanza kuwawekea hela kwenye akaunt zenu. leo walimu wanadai malimbikizo ya madai ya sh 49 bilion ambayo hawajui watalipwalipwa je. Mshahara wa mwezi wa kumi serikali imekopa, wa mwezi wa kumi na moja vile vile, wa mwezi huu sijui kama hizo benk zitakuwa na hela tena japo Mkulo anasema kuna hela kibao hazina bial kujua anachokimanisha. Je serikali hii itaweza kulipa hizo hela kabla ya januari?

  Naona hii inaanzia tu kwa walimu lakini hata maaskari japo tu wakorofi kiasi katika kupiga mabomu na washwasha lakni hii ni kutokanna na kiapo tulichokula jeshini. Hebu fikiria, juzi katika mgomo wa chuo kikuu, kuna mtoto wa askari mwenzangu alikimbilia mtaroni, wakati wa pukurushani babake akagundua kuwa amemkanyaga mwanae bila kujua. Akasikitika akasema Dah... Sijui nitaficha wap uso wangu leo jioni nitakapoulizwa na mama yake. Hizi kazi zetu hizi'' Njaa hadi unaasi na kusaliti familia!!!!!  UKIONA INALIA SANA INAKARIBIA LELE
   
Loading...