Migogoro ya Kijamii: Je BAKWATA ni relevant? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Migogoro ya Kijamii: Je BAKWATA ni relevant?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BondJamesBond, Oct 18, 2012.

 1. B

  BondJamesBond Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nashauri wataalam wa kulamiza mogogoro kuwake up and smell the coffee.

  Hawa BAKWATA inaonekana washakuwa marginalised na inaonekana hawana support ya jumuiya zinginze za waislam Tanzania.

  Sasa ushauri wangu kwa viongozi wa serikali na usalama hususan watu wa TISS waanze behind the scenes negotiations na organisations ambazo zina influence kwa waislam na ikiwezekana wawa sideline hawa Bakwata na ikiwezekana wa empower jumuia nyingine as long as the end product ni amani. Ni wazi kuwa hii migogoro ya kijamii haitaisha leo wala kesho lakini kuna umuhimu wa organs of the state kujua kuwa migogoro mingine inaweza kutatuliwa bila hata kuingia mitaani na kuwapiga watu virungu.

  Kuhusu Zanzibar, kule tatizo kubwa ni un employment na nashauri task force iunde ili walau massive infrastructure projects zipelekwe kule ili vijana wawe bize huku team nyingine ikijaribu kutatua migogoro behind the scenes.

  All in all haiwezekani kutumia methods zailizopo kutatua migogoro na hizi organisations kama BAKWATA zimeshindwa na kuna umuhimu wa kuwa mawazo mbadala na new players wanatakiwa wawe promoted ili ku counter hawa BAKWATA na wengineo.
   
 2. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wazo lako zuri sana...timed bomb waliyokuwa wanasema akina EL ndo inaanza kujitokeza.....sasa hivi tutaanzakusikia kisingizio kingine...kumbe watu hawana ajira maisha magumu na hawaoni suruhisho, history will judge.
   
 3. t

  the circus Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nadhani kuna umuhimu wa kuwa contact prominent Muslims ambao wanaweza kuwa go between ili kuondoa hii hali ya kuonekana kuwa waislam wanaongozwa na watu ambao si wasomi kama Sheikh Mkuu wa BAKWATA.

  Hapa pia kuna problem ya failure ya entire system ambao iko more comfortable na theories za HUU NI UPEPO TUU UTAPITA.

  Kwa nini wasiunde INDEPENDENT COMMISSION ambayo itaangalia kiini cha hii migogoro na kutoa recommendations on what should be done. Mimi naudhika kila kukicha tunajaribu sana kukwepa elephant in the room kuwa matatizo yapo na community leaders wamefail na media nao haisaidii.

  Ukweli ni kuwa waislam its about time wakaamua kutake responsibility. Haiwezekani kila kukicha tunaambiwa mfumo kiristo ndio kikwazo huku jumuia zao zinaongozwa na ma Illiterates. Kwanini wasifanye uchaguzi na kubadili watu wanao wawakilisha? Wale TAMPRO wao kila kukicha wanatoa zawadi tuu, na wale wengine BARAZA kuu no one even knows what they stand for. Matokeo yake Ponda na ma radicals wengine wana fill in the void na tusijidanganye wanasikilizwa sana na kama hamuniamini sibirini kesho Ijumaa mtaona yatakayotokea.
   
 4. S

  Saracen Senior Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ........
   
 5. p

  petrol JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 322
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  "Kuhusu Zanzibar, kule tatizo kubwa ni un employment". Kwani bara hakun atatizo hilo? Kama sehemu zote mbili zimekumbwa na 'ugonjwa' unaofanana tufanyeje na wakati vyuo vinaendelea kuzalisha wasomi.
   
 6. u

  ugwenousangi Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Tunacho chuo cha ustawi wa jamii sasa wasomi waliotoka pale na wataalam wasosholojia wako wapi?
   
 7. takashi

  takashi JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 909
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tatizo la Zanzibar ni Muungano na sio kingine. CCM imekua ikilazimisha Muungano bila ya kujali mass ya wznz kwamba hawataki Muungano. Vyama vya siasa vimeshindwa kupata ufumbuzi , na sasa wanaharakati wa kiislamu wanachukua nafasi. Kuwateka /kuwauwa viongozi wa kiislamu hakutasaidia kitu .
   
 8. R

  RWEYE1 Senior Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kabisa Bakwata kuna tatizo kubwa hususan elimu ya kutosha kwa baadhi ya viongozi. Muundo mpya wa utumishi bora ukaundwa ili uweke vigezo vizuri kwa elimu ya viongozi wa baraza hilo ambao wataweza kuendana na changamoto za mabadliko katika jamii.
  Kazi kwa vijana wetu nalo ni tatizo kubwa. Ndo maana kila pakitokea mtu au kikundi kiaitisha maandamano au vurugu vijana wa mitaani ndo wanakuwa wa kwanza kuhusika kaika vurugu hizo.
  kwa hiyo hii ni changamoto kubwa kwa serikali yetu na wazazi na jamii kwa ujumla. wazazi pelekeni wataoto wenu shule msitegemee serikali au jumuia za dini kwa kila kitu. Pia katazeni watoto wenu kujihusisha au kuhudhuria mihadhara hatari ya siasa au dini.
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Kwa nini serikali na TISS itumike? Si ni9 jukumu lao waislamu wenyewe kujiorganise?
   
Loading...