Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Huyu jamaa amekuwa tajiri kwa kutumia Migodi yetu lkn si ajabu wala hajawahi kukanyaga ardhi ya Tanzania!
Migodi inauzwa juu kwa juu huko kwa Wazungu wanakuwa Mabilionea, sisi tumekaa kumjadili Makonda, tena cha ajabu zaidi tunapoteza muda kumjadili ambaye hatuwezi kumfanya chochote kile zaidi ya maneno!
Haya ndo mambo yaliyopaswa kusimamisha Bunge, na siyo Wema Sepetu, Mama yake au sijui Steve Nyerere!
How a Tiny Gold Fund and TV Treasure Hunter Got a 146% Return