Source: Inner City Press: Investigative Reporting from the United Nations, U.N. Officials Reluctant To Disclose Financial Relationships And Assets, Putting Spotlight On Ethics | Fox News,Matatizo mengi ambayo nchi inapitia leo yanasababishwa na malengo ya 2015.
Hii Tanzania ni Migiro tu ndiye anayefaa kuwa kiongozi?
Leaving such a rare experienced, erudite diplomat out of ministers cabinet is simply an irrational decision. Consequently, I am in favour of JK's plans to include the woman into his own 'timu ya kazi', though I am completely against those tipping her for presidency.
Watu wenye uzoefu kama huu ndo wana uzoefu pia wa kuiibia nchi kuliko wale ambao hawana diplomatic experience ya kutosha. Kuna experienced diplomat kama Salim A Salim hapa nchini? Ni waziri wa nini yeye? Tuache kuamini kwamba nchi inaweza kwanda wakiwemo tu akina fulani wakati nchi ina wakaazi zaidi ya 40 milioni? Hivi unawezaje kunambia kwamba kati ya hawa wote hakuna mwenye uwezo kama wa Migiro? Haya ni matatizo ya kuthink within the box ya JK, hawatumii TISS wake kutathimini watu wanaofaa kuwa viongozi, badala yake anafikiria zaidi ulipaji wa fadhila na kujuana.Leaving such a rare experienced, erudite diplomat out of ministers cabinet is simply an irrational decision. Consequently, I am in favour of JK's plans to include the woman into his own 'timu ya kazi', though I am completely against those tipping her for presidency.