Mifumo ya kulipia maegesho inasumbua

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,886
2,767
Wakuu za asubuhi. Napata changamoto hapa kwa mifumo hii ya kiserikali hasa uoande wa tozo mbalimbali. Hapa nazungumzia maegesho hapa Dar. Awali palikuwa na termis. Sasa GEPG, ila naona kote huko mifumo inajichanganya tu.

Kwa anayejua usahihi wa hii mifumo aninulishe tafadhali
 
Kitu hii Huwa inaniuma nalipia parking ambayo haipo.Unaeza fika mjini labda kariakoo ama posta ukahangaika kutafuta parking jasho linakutoka.ukipata ki upenyo ukajiegesha anakuja mdada na kimashine anaanza kupiga picha gari yako.
 
Gari iache nyumbani. Siyo lazima uende nayo mjini
 
Kitu hii Huwa inaniuma nalipia parking ambayo haipo.Unaeza fika mjini labda kariakoo ama posta ukahangaika kutafuta parking jasho linakutoka.ukipata ki upenyo ukajiegesha anakuja mdada na kimashine anaanza kupiga picha gari yako.
Dawa ni kuhakikisha anakutafutia parking yeye mwenyewe
 
Kitu hii Huwa inaniuma nalipia parking ambayo haipo.Unaeza fika mjini labda kariakoo ama posta ukahangaika kutafuta parking jasho linakutoka.ukipata ki upenyo ukajiegesha anakuja mdada na kimashine anaanza kupiga picha gari yako.
Paki gari nyumbani tu

Ova
 
Back
Top Bottom