toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,912
- 12,372
Hebu kuwa serious una kitambulisho cha mida mkuu hiyo barua ya kazi gani?..Au unaongelea ukiwa ume relocate ?Barua ya utambulisho ya unakoishi ni muhimu sana hata mimi nilidhani ni usumbufu kumbe ni lazima mfano umepata tatizo ama umesababisha tatizo msaada utapatikana wapi
Sisi Bado sana, Tunaotaji Wa Africa Tunaotaji kutawariwa Tena Ili Akili Zetu zitukae sawa.Tatizo linaanzia kwa wazee wafanya maamuzi ya lidera waliojazana Serikalini hata baada ya kustaafu.
Mbinu za miaka ya 70 ndizo zinazotumika katika karne ya 21 huku vijana wanaopaswa kuendesha nchi kisasa wakiwa nje ya mfumo licha ya kusoma na kuhitimu....
Kitambulisho Cha NIDA.....Akifanyiwi Update ya mtaa, au nyumba unayoishi kwa sasa.Barua ya utambulisho ya unakoishi ni muhimu sana hata mimi nilidhani ni usumbufu kumbe ni lazima mfano umepata tatizo ama umesababisha tatizo msaada utapatikana wapi
Wewe ndiye hauko serious soma nilichoandika na kuelewaHebu kuwa serious una kitambulisho cha mida mkuu hiyo barua ya kazi gani?..Au unaongelea ukiwa ume relocate ?
Napaupo mfumo unaitwa napa ambao unapa barua ya utambulisho kutoka kwa mtendaji wa kata online
....mfano umepata tatizo ama umesababisha tatizo msaada utapatikana wapi
Kwanini mnabadilisha makazi na mkibadilsha makazi mifumo yenu Ina hiyo option ya kujua Kama mme badilisha makaziNdio hoja ya mtoa hoja...
Kwanini mifumo isisomane.
Wakiingiza namba moja tu basi itupe taarifa zako zoteee.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
biyo mifumo yote uliyoitaka hapo inasomana kwa sasaNapa
Rita
Nida
Tra
Tausi
Nhif
KWANI HATUWEZI KUWA NA MFUMO MMOJA??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Uongo na NABISHAAAbiyo mifumo yote uliyoitaka hapo inasomana kwa sasa
Tupate mfumo mmoja wenye namba moja mfumo huo @ namba hiyoKwanini mnabadilisha makazi na mkibadilsha makazi mifumo yenu Ina hiyo option ya kujua Kama mme badilisha makazi
Hiyo mifumo yenu inaweza sasisha mlipo kwasasa na kama haiwezi kufanya hivyo kwa wakati mnataka nyie nini kifanyike
Do you have background knowledge to update technology, (changing technology)
Noted with thanksTupate mfumo mmoja wenye namba moja mfumo huo @ namba hiyo
Itasoma NHIF, NIDA, PASSPORT, MAKAZI, TRA yaani kokote.
Ukifika ofisi x ukaingiza hiyo namba, namba hjyo isome kila kitu kuhusu wewe.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hii ndo Tanzania niliomba cheti cha kuzaliwa online RITA, baada ya kujaza taarifa walizohitaji na wakajiridhisha waliniambia nikachukuwe cheti mahali nilipochagua, nimeenda hapo Kibaha kila siku wanasababu mpya, mara ya kwanza walisema nipeleke document original nilizoambatanisha wakati wa kuomba, nilivoenda na document walizohitaji, wakadai nikatoe kopi, unajiuliza hii copy ndo iliyoko mtandaon ambayo hawakutambua, imepelekwa kopi wanasema haionekani, haya nifanyeje nenda katoe kopi pale kwenye kontena, lengo uache maokoto. Nimetoa kopi pale walipotaka ikaanza njoo jumanne, ukienda njoo Alhamis, ukienda Alhamis unambiwa printer haina wino, mara printer imeenda kwenye maonyesho yaani kila siku ni upuuzi upuuzi tu. Ni sawa na kuwambia mtu eti aka certify cheti cha shule, hivi huyu mwanasheria anayepelekewa cheti dakika moja na kugonga mhuri huwa ana-certify kitu gani?Mtu una vielelezo hivi
1. Cheti Cha kuzaliwa
2.Cheti Cha shule ya msingi
3.Cheti Cha secondary
4. Cheti Cha ufundi veta.
5.TIN number
6.Reseni ya Biashara
7.Kitambulisho Cha NIDA
8.Passport ya Tanzania
• Sasa mtu ukienda kupata Huduma ktk Hofisi za watawala wanakuambia kalete Barua ya Utambulisho wa wa Serikali ya mtaa/ Utambulisho wa mtendaji.
• Hawana uwakika kama ni mtanzania, Mifumo Haisomani na Wala Hawaziamini Documents zao.
• Kwa mtazamo wangu Hawa Hata kitambulisho chao Cha Taifa wakiamini wakati kina Taarifa zote za mtu, pia kuna ku update Taarifa za mtu. Yaani Mambo mengi Wanafanya kama tunaishi Karne 15
Hawakiamini kitambulisho chao Cha Taifa.
jamaa si nimeongelea masala ya kurelocate au ?Wewe ndiye hauko serious soma nilichoandika na kuelewa
You have to read between lines
Narudia taarifa ya unakoishi ni muhimu kuliko hata hicho kitambulisho cha NIDA
Swali je wewe umejaliwa makazi ya muda wote? Yaani huwezi kuhama kikazi ama kivyovyote vile
Swali je umewahi kushuhudia watu wana hama mikoa wilaya ama mitaa?
Tatizo mna kalili kila kitu
Anuani za makazi labd ni chache tu ambazo ziko digitalized therefore that system in your mind will not work nowjamaa si nimeongelea masala ya kurelocate au ?
BOngo daslam kila kitu deal,kila kitu fursa kama sio fursa na dealMtu una vielelezo hivi
1. Cheti Cha kuzaliwa
2.Cheti Cha shule ya msingi
3.Cheti Cha secondary
4. Cheti Cha ufundi veta.
5.TIN number
6.Reseni ya Biashara
7.Kitambulisho Cha NIDA
8.Passport ya Tanzania
• Sasa mtu ukienda kupata Huduma ktk Hofisi za watawala wanakuambia kalete Barua ya Utambulisho wa wa Serikali ya mtaa/ Utambulisho wa mtendaji.
• Hawana uwakika kama ni mtanzania, Mifumo Haisomani na Wala Hawaziamini Documents zao.
• Kwa mtazamo wangu Hawa Hata kitambulisho chao Cha Taifa wakiamini wakati kina Taarifa zote za mtu, pia kuna ku update Taarifa za mtu. Yaani Mambo mengi Wanafanya kama tunaishi Karne 15
Hawakiamini kitambulisho chao Cha Taifa.
it should be working, right? shouldn't it ?...Hivi ndio vitu vya kufanyia kazi masta tutarahisisha mambo mengi sanaAnuani za makazi labd ni chache tu ambazo ziko digitalized therefore that system in your mind will not work now
Sipendi kuambiwa nikalete utambulisho WA mtendaji,hata sijui Kwa Nini!Mtu una vielelezo hivi