Pia kwa nini serikali inazidi kuruhusu mifuko hii kuzalishwa au kuingizwa nchini?Kwanini serikali kupitia Wizara inayohusika na mambo ya mazingira isingetenga kiasi kidogo cha fedha ili kununua mifuko iliyokwisha tumika ,mfano tsh 100 kwa kilo alafu wakaiteketeza katika sehemu maalumu... kama ilivyo kwa biashara ya kuokota chupa na vyuma chakavu kama njia ya kupunguza uharibifu wa mazingira.
Kwa jinsi ajira zilivyokuwa ngumu nadhani watu watachangamkia fursa ...
Nawaza tu.....
Nadhan suala hapa ni ipigwe marufuku kabisa nchi nzima na isizalishwe tena iwe kama ukionekana umebeba mfuko wa plastic huchukuliwe km mbeba bangi
Hili likithibitiwa ndo sasa serikali ianze kutoa ajira ya ununuzi taka mifuko ili kuimaliza mtaani kabisa