Mifuko mipya

Ni makosa tu ya kupima nauhakika mifuko ya plastiki ndio mirahisi kupasuka zaidi kama utazidisha mzigo.Kinacho onekana hapo ni mbebaji aliupa sifa kubwa mfuko kubebesha mzigo mkubwa mno.
 
Hivi kumbe zinauzwaga madukani. Mimi Nilijua ni kama nyara hivi maana nilizionaga sana kwa wazee.

Hahah Kumbe mustini ndio mess tin.
Ziligawiwa na Serikali mashuleni, vyuoni na jeshini ama kambi na vyuo vya polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…