[emoji23][emoji23][emoji23]Nikamuuliza watu wasiponunua vifungashio ndio hamfanyi biashara? Akasema bahasha wamenunua hela kubwa, nikamuuliza tena kwani mifuko mlikuwa hamnunui? Akajikanyaga hapo nakaomba hela yangu nikaenda duka lingine nikafungiwa na mfuko nikasepa
[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu tutalipia tu, la sivyo ubebe kapu.Leo nimefungiwa sukari kwenye bahasha ya kaki, nikaambiwa nililipie na bahasha, nikagoma nikaomba hela yangu na kwenda duka lingine
Maneno ya kujifariji hayo mkuu Karibu Sana hapa Copenhagen capital city of Denmark nchi ya maziwa na asaliMkataa kwao mtumwa
Beba kisado, au chombo sufuria ya kupikia mboga kabsa.Vip wanao nunua mafuta ya mia mbili itakuwaje?[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuja Odense August nitakupitia hapoManeno ya kujifariji hayo mkuu Karibu Sana hapa Copenhagen capital city of Denmark nchi ya maziwa na asali
View attachment 1113300
Mmmhhh kweli,wasije nifanyia biashara ya kuongeza mapato serikalini au nikamnunulia mtu nyama ya iddi aiseeHivyo ni vifungashio havina shida
Chukua kikombe cha chai ukaweke humoVip wanao nunua mafuta ya mia mbili itakuwaje?😊
Nitapambana aisee sitaki kulipishwa kifungashio kizembe jambo ambalo muuzaji wa bidhaa anatakiwa anifanyie mimi mteja[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu tutalipia tu, la sivyo ubebe kapu.
Duh, Watu wa Dermak kumbe mnafanana hivi?Maneno ya kujifariji hayo mkuu Karibu Sana hapa Copenhagen capital city of Denmark nchi ya maziwa na asali
View attachment 1113300
Nitaleta ufafanuzi kesho.. Vifungashio havijapigwa marufuku bali vibebeoMmmhhh kweli,wasije nifanyia biashara ya kuongeza mapato serikalini au nikamnunulia mtu nyama ya iddi aisee
Mbona nasikia hata ya kufungia karanga za 100 ma maji ya kandoro nayo wamepiga ban...
Ok Karibu Sana mkuu utanenepa zaid ya Hapo full maziwa huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuja Odense August nitakupitia hapo
Kuna siku mama mmoja sokobi nimenunua vitu kwake vingi tu, mwisho namwambia niwekee kwenye mfuko akasema wa mia au mia mbili. Nikaweka simu sikioni nikasepa akiwa anaona.Nitapambana aisee sitaki kulipishwa kifungashio kizembe jambo ambalo muuzaji wa bidhaa anatakiwa anifanyie mimi mteja