Mifuko migumu nchini na bei za sticker ya chupa

Mifuko migumu nchini na bei za sticker ya chupa

Samedi Amba

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
227
Reaction score
178
Habari za mchana wanaJF

Moja Kwa Moja:
Je kuna kiwanda humu nchini kinachotengeneza mifuko Ile migumu ya kubebea vitu (inayouzwa 500/1000)... Na kama IPO wanapatikana wapi? Naona mifuko mingi ina nembo na contacts za China, an indication kuwa zinaagizwa kutoka nje...

Swali la pili, hivi Kwa wale wanaouza asali NK, sticker za chupa (zile za karatasi, sio vinyl) zinatengenezwa Kwa bei gani? Au zinakuja pamoja na chupa?

Asanteni
 
Back
Top Bottom