Mifuko mbadala kutumika badala ya plastic

Mifuko mbadala kutumika badala ya plastic

Weka bei hapa wateja tupo wengi hayo mambo ya pm ya nini ?kama lengo lako ni kutangaza biashara?
 
Jiandaeni kubebea magunia ... Tuunge mkono viwanda vya ndani
 
Best job JM.hizo rambo hazifai kabsa.wale wa chpis mtatumia bahasha kama za kfc,sokoni akina mama tumien vikapu.
Hizi ngoma zinaharibu mazingira sana na tatizo kubwa ni haziozi kama uchafu mwngne.
 
jamaa bei anafanya siri,atakua analangua kenya huyu,maana huko hii mifuko inauzwa kwa bundle,so anaweza nunua kwa tsh 5o mfuko akauza kwa 100,ili wewe nawe ukauze 150
 
jamaa bei anafanya siri,atakua analangua kenya huyu,maana huko hii mifuko inauzwa kwa bundle,so anaweza nunua kwa tsh 5o mfuko akauza kwa 100,ili wewe nawe ukauze 150
Material nannua k/koo na nnatengeneza mwenyew
 
mifuko ya kaki inaweza kabisa kuhifadhi nyama au samaki,tatizo liko kwenye bei tu,lakini enzi za mwalimu ulikua ukienda sokoni,unaikuta hii mifuko ya kaki na ilikuwa inauzwa sh tano mpaka kumi,wewe mteja ndo unanunua mfuko ili uwekewe nyama,sembe au mchele etc
 
Ukitaka kufanyia design and branding tuwasiliane mkuu
 
Ndo tatizo la tz yaan kufichaficha bei halafu ndo tuingie kwenye ushindani wa africa mashariki kweli???
 
Back
Top Bottom