Mifugo Hifadhi ya Ruaha ni balaa

Mifugo Hifadhi ya Ruaha ni balaa

Oneni

Hatuelewani

Hakuna ulazima wa kupunguza idadi ya mifugo.

Ni kuweka tu utaratibu wa misimu ya kupitisha mifugo.

Kiukweli mifugo katika hifadhi ni moja ya njia borrrrra kabisa ya kuhifadhi hifadhi hizo

Sijachanganya, nnarudia tena kwa lugha nyingine MIFUGO HUSAIDIA KUBORESHA MAZINGIRA YA MAENEO INAPOCHUNHIWA HUKO MISITUNI na hii ndiyo sayansi.

Hata mbunge wa Geita alipoomba hao wahifadhi waambatane na wachungaji ili wakawaoneshe uharibifu unatokeaje huoni waloshindwa? Sayansi ipo upande wa wafugaji. Tena wafugaji wa makundi makuuuuuuuubwa ya ng'ombe.

Msikaririshwe mazingira, mazingira
Siyo kweli!

Hakuna ufugaji wa namna hiyo ktk Karne hizi!

Kwanza ujue tu kwamba Ng'ombe anapotembea kwa umbali Mrefu anatumia ENERGY AMBAYO NDICHO CHAKULA ALICHOKULA!

Huo ni Uvivu wa Kubadilika na unaturudisha Nyuma!

Huwezi kuswaga Ng'ombe kutoka Shinyanga Mpk Lindi halafu ujifanye unapata hapo kitu!

Ni kwa Sababu RASILIMALI Majani ziko Nyingi ndo maana Wafugaji wanadhani kwamba wanapata faida!

SERIKALI IFANYE KAZI YAKE!

Iwagawie Wafugaji Maeneo ya KUFUGA lakini pia Wafugaji wafuge Kisasa-Waoteshe Majani/Nyasi kwenye Maeneo yao na Serikali iwapelekee huko Huduma Zote muhimu!

Halafu ili UHALIFU KWENYE SEKTA HII UISHE-Serikali ikamilishe mpango wake wa kuwaandikisha Wafugaji wote Nchini pamoja na Mifugo yao!

Ubabe wa baadhi ya Wafugaji ni kwa Sababu huwezi kumtambua na Mifugo yake haina Alama!

Tunachelewa sana kwa kulifanyia SIASA eneo hili!

Uwekezaji Mkubwa kama wa Bwawa la Nyerere halafu unaharibiwa kwa uzembe hapana!
 
Exactly

Kabisa kabisa, na kushtua kidogo ardhi na kuinyea kiasi kunasisimua uoto kuliko ardhi ingebaki kupigwa na upepo tu.

Hao wahifadhi wasitukaririshe, waje na sayansi kamili sio porojo tu
Imagine wanachoma moto hifadhi ili kupata nyasi mpya badala hata ya kuruhusu mifugo kulisha kwa masharti ya muda.
 
Imagine wanachoma moto hifadhi ili kupata nyasi mpya badala hata ya kuruhusu mifugo kulisha kwa masharti ya muda.
Unaona!

Sayansi inasema kabisa ili nyasi ziote kwa uzuri lazima zisumbuliwe ardhi isisimuliwe

Sasa badala tutumie mifugo tupate faida mara mbili wanachoma moto.

Ni uzembe tu wa kutotaka kuweka utaratibu na kutumia utaalamu wwnye tija zaidi na kazi zaidi.
 
Unaona!

Sayansi inasema kabisa ili nyasi ziote kwa uzuri lazima zisumbuliwe ardhi isisimuliwe

Sasa badala tutumie mifugo tupate faida mara mbili wanachoma moto.

Ni uzembe tu wa kutotaka kuweka utaratibu na kutumia utaalamu wwnye tija zaidi na kazi zaidi.
Mentality ya kishetani.
 
Back
Top Bottom