Kwa hiyo hali " sisi wengine sijui kama tutakuja kuoa
Maana mtu unajua kabisa kuwa utakuja kuoa lakini ndoa yenu inaweza kuja kuwa na asilimia chache mnoo za kudumu ...so si bora usioe kabisa Julio kujitia minuksi
"Pili pili usiyoila inakuwashia nini?" Kaka watu hufa kwa ajali za magari lkn haizuii kesho wengine wasinunue magari hayo hayo na kuendelea kusafiria, sababu "hiyo ndiyo dunia na ndivyo ilivyo."