:"its better dr. alivyoondoka naamin now ataishi kwa amani kbsa!"" uhai hautafutwi mengine tunatafuta!
Amani ipi wakati investigation tunaendelea ndo maana hata wasaidizi wake wako nje ya ofisi
:"its better dr. alivyoondoka naamin now ataishi kwa amani kbsa!"" uhai hautafutwi mengine tunatafuta!
Mkuu tuwekee na ushahidi wa hili jambo kama ulifanyika utafiti ulioleta hoja hii. Au ni hisia zako tu kuhusu ubora wa NSSF.Nssf as leading pension fund east and central Africa
Mkuu unakosea unaposema kuongoza FAIDA, hiyo syo faida maana capital ni shs 250b sasa zimerudi bilioni 6 utaitaje faida wakati hawana break evenDaraja kuingiza faida hakuhalalishi eka moja kigamboni kununuliwa/kuwa na thamani ya 800,000,000/= miaka ile!!
Mkuu unakosea unaposema kuongoza FAIDA, hiyo syo faida maana capital ni shs 250b sasa zimerudi bilioni 6 utaitaje faida wakati hawana break even
Angekuwa kichwa angewekeza kwenye hizo bondi na si ku tie kiasi kikubwa hivyo cha fedha hadi kushindwa kuwalipa watu stahili zaoWamevuka lengo walilojiwekea kukusanya ndani ya muda waliojiwekea, na hizo bilioni 6 wamesema wananua treasury bonds za BOT ambapo baada ya miaka 15 wanapata bilioni 18, je wakiendelea kukusanya na kununua Hizo bonds za BOT huoni kwamba ndani ya miaka 30 waliyokadiria kurudisha pesa za Ujenzi wa Gharama za daraja hilo watapata na faida hata mara tatu yake?
Dau Kichwa!
Angekuwa kichwa angewekeza kwenye hizo bondi na si ku tie kiasi kikubwa hivyo cha fedha hadi kushindwa kuwalipa watu stahili zao
Dari salama hivi sasa ni jiji la majungu. Unaweza pakwa tope hadi kila mtu akakuona hufaiView attachment 449437 View attachment 449438
Magazeti haya haya yalisema NSSF imefilisika na kwamba Mkurugenzi Mkuu mpya kaachiwa fupa
Ina maana kuondoka kwa Dr Dau NSSF miezi 9 ndio mafanikio makubwa Kiasi hiki? Kutoka kuwa Fupa Hadi kuwa Imara kifedha na balance ya TRILLION 7 Kwa mpaka 2085?
Kwa miradi gani mpya iliyoanzishwa na yenye tija kiasi hicho?
Maana huyu Mkurugenzi mpya amesimamisha miradi yote na akalalamika miezi 3 iliyopita alisema hakuna mradi mbaya, wa hovyo na usio na manufaa kwa taifa na wenye kutia hasara kama Daraja la Kigamboni ambalo ni mmoja ya legacy kubwa ya Dr Dau
lakini wiki iliyopita kabadilika na kanukuliwa akisifia kuwa Daraja Kigamboni lina print pesa kuliko BOT na ni mradi bora zaidi kuliko miradi yote iliyofanywa na pension funds za nchi hii
Mwenyezi Mungu Ni Mjuzi
Imenibidi niagize konyagi ya baridi na safari ili kichwa kikae vizurihv mleta mada una viroba kichwani? kanywe ama kaoge maji ya baridi ili vipungue.
hiyo tril 7 ni projection ya mapato kwa mifuko yote ya hifadhi ya jamii ifikapo 2085. sasa hadi kufikia 2085 ni miez 9 hiyo?
halafu acha kabisa ulevi wa kidini, ww ni mdini sana. dr dau ni fisadi, ova!
Walioleta vurugu na waandishi wa habari mwaka 2015 walikosa nini kama si malipo baada ya kwenda NBC wakaambiwa Nssf hawajaweza hela ktk account zao,zumbukoko weweHakuna aliyeshindwa kulipwa stahili zake na NSSF
Walioleta vurugu na waandishi wa habari mwaka 2015 pale Nssf mlimani city walikosa nini kama si malipo baada ya kwenda NBC wakaambiwa Nssf hawajaweza hela ktk account zao,zumbukoko weweHakuna aliyeshindwa kulipwa stahili zake na NSSF
We vuta subra mkuu kwani hatma ya walokuwa chini ya dau umeshaijua?si bado investigation zinaendelea kupata ushahidi wa kuhusika kwao,na kuna watakaokuwa hatiani ila dau kama mkuu wa taasisi hawezi kwepaHili suala naamini by now Magufuli kashajua mchele ni upi na puma ni zipi..