Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,078
Fisadi kuliko babaako,mnamshambulia kisa dini yakehv mleta mada una viroba kichwani? kanywe ama kaoge maji ya baridi ili vipungue.
hiyo tril 7 ni projection ya mapato kwa mifuko yote ya hifadhi ya jamii ifikapo 2085. sasa hadi kufikia 2085 ni miez 9 hiyo?
halafu acha kabisa ulevi wa kidini, ww ni mdini sana. dr dau ni fisadi, ova!