Na wewe unachanganya mambo pamoja na kushuku wenzako ni wapiga viroba! Kwahiyo kama hoja ni viroba basi unaonekana nawe umeshavitikwa au huwa unakuja na majibu yako kwenye mada za aina hii!hv mleta mada una viroba kichwani? kanywe ama kaoge maji ya baridi ili vipungue.
hiyo tril 7 ni projection ya mapato kwa mifuko yote ya hifadhi ya jamii ifikapo 2085. sasa hadi kufikia 2085 ni miez 9 hiyo?
halafu acha kabisa ulevi wa kidini, ww ni mdini sana. dr dau ni fisadi, ova!
Mosi, hiyo 7.1 Trillion sio projection bali ni thamani ya uwekezaji kwa mifuko yote by 2015. Kwahiyo, sio miezi 9 bali hiyo ripoti ni ya tangu mwaka jana...
In addition, taarifa haijasema kila mfuko una uwezo wa kustawi hadi 2085 bali hiyo 2085 ni kwa NSSF huku PPF ikiwa hadi 2075 na LAPF hadi 2058! Kwahiyo mfuko uliokadiriwa kuwa na uwezo wa ku-survive kwa muda mrefu zaidi ni NSSF!
Sasa hapo unaweza kutafakari kwa kuangalia miradi ya mifuko mbalimbali na ndipo unaweza ku-predict ukubwa wa share ya kila mfuko ndani ya hiyo 7.1 Trillion.
Na ikiwa umeshaambiwa ni NSSF ndiyo yenye uwezo wa kustawi muda mrefu zaidi; sidhani kama utahitaji kutumia calculator just kufahamu ni mfuko upi miongoni mwa yote ndiyo ina largest percentage share kwenye hiyo 7.1