Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,485
:kwa afya ya Taifa letu, CCM yetu na wananchi wake ni vyema Mkuu wa kaya angejiuzuru na kutisha uchaguzi upya, nina imani atashinda kwani atakuwa na mtaji wa kuwa kiongozi mkuu pekee wa tanzania kuwajibika na hii itampa credit sana na atashinda.
Kuendela kungangania kutaibua mengi ambayo 2010 yatamweka kwenye wakati mgumu sana.
Narudia tena kwa afya ya Taifa letu, CCM yetu na wananchi wake ni vyema Mkuu wa kaya angejiuzuru na kutisha uchaguzi upya....
Hivi tukijiuliza swali sisi wenyewe kwamba kwa haya yote yaliyotokea, sisi kama wadau wakubwa wa Tanzania nini tunangojea? Je, tunangojea hawa wahusika pamoja na mkulu waresign? Je, tunangojea uchaguzi wa 2010? je tunangojea vyombo vya sheria vifanye kazi yake?
Swali kubwa: Kama tunasubiria moja wapo ya vitu nilivyotaja hapo juu kutokea, Je, Tumekuwa tukingojea hayo tangu lini? Tumepiga kelele kuhusu hayo tangu lini? Hawa jamaa wameziba masikio au nafasi walizo nazo zinawafanya wawe hivyo? Tutaishi kwa matumaini haya mpaka lini? au tuishi kwa matumaini mpaka ''Yesu atakaporudi'' Kuna mtu anajua atarudi lini? au wote tusitruggle na kuwa sehemu ya ufisadi (survival for fittest)
I am getting confused here....! Tufanye nini sasa ili tuweze kufika kwenye ''mbingu'' tunayotaka?
Siku mkulu wa kaya atakapojiuzulu na kuitishwa uchaguzi.....I will instantly fly to Tanzania just to be "part of the history!"
its so unfortunate that it will never happen.Sheria/katiba butu,uongozi butu,wananchi elimu duni,huduma za afya ziiii....Hivi hasa tuna kipi cha kujivunia???
Tutaendelea kuwa confused, mpaka tutakapo amua kuwa na akili ya wananchi wa kenya kukataa kubuluzwa.
hivi tukiamua tusipige kura kwa kigezo kwamba hatuoni mtu wote ni wezi itakuwaje? utashitaki nchi nzima, tunahitaji misimamo ya kiukweli.
Siku mkulu wa kaya atakapojiuzulu na kuitishwa uchaguzi.....I will instantly fly to Tanzania just to be "part of the history!"
its so unfortunate that it will never happen.Sheria/katiba butu,uongozi butu,wananchi elimu duni,huduma za afya ziiii....Hivi hasa tuna kipi cha kujivunia???
Well said Mkjj, Huwa nikifikiria hata ile kesi ya maziwa ya watoto China of which in 4 months it was closed na wanaendelea na mambo mengine. Mimi nadhani sisi pamoja na kuhusika kwa Mkulu lakini hatuna utamaduni wa kumaliza mambo. Tunaendekeza sana longo longo! Tungekuwa na utamaduni huo ina maana wananchi wangekuwa wanademand kuona mwisho mapema wa kila ishu kubwa kubwa. Lakni hapa tukiambiwa iko mahakamanindio basi tena.
Look at Mahalu's case how many yrs bro?????