Miembe ya kisasa..

Kwa wale wakazi wa Arusha na Moshi Miembe ya aina hiyo inapatikana pale KIA karibu na querry.
 
Kwani wachina hawaruhusiwi kuishi indonesia?

Wanaruhusiwa kuishi Indonesia tena wengine ni raia kama tutakavyokuja kuwaona Chinese-Tanzanian baada ya miaka michache ijayo. Ila wenzetu wamewadhibiti wachina katika kuchakachua sio kama tulivyoshindwa sisi kuwadhibiti katika kuchakachua..hadi dawa za kuongeza hips..
 
Miembe hiyo inapatikana kuanzia Dar, Bagamoyo, Kibaha, Morogoro (SUA) na maeneo jirani, Mbeya na sehemu chache. ni miembe ya kawaida sana kwa sasa tatizo letu Habari za hayo hazienei kwa wadau.

kaka hiyo miembe kwa kibaha inapatikana wapi? na dar pia inapatikana wapi? saidia ndugu....
 
Wadau, tuambiane inapatikana wapi hapa dar au kibaha na ni kwa bei gani kwa mti.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…