Mie sizielewi hizi Samsung Galaxy Mini

Mie sizielewi hizi Samsung Galaxy Mini

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,655
Reaction score
104,724
Habari wakuu,
Me nna swali hapa. Samsung wanatabia ya kutoa smartphone then later wana release product kama ile ile but wanaweka ubini wa "mini".
Mfano hizi nilizosoma gsmarena dot com kua S-IV inaandaliwa mini. Mi nkawa najua mini ni something ndogo hivi, but nashangaa kuona wanasema itakua na 4.3" AMOLED screen. Tofauti ya .6" from S-IV. Mbona ata hiyo mini yao bado kubwa tu? Nadhani screen kubwa than i5. Pia kw ukubwa uo si itakua kama S-III au S-II jamani?
So wasiwasi wangu hii "mini" inamaanisha nini?
Udogo wa Size au Specifications and hence bei ili ata walala hoi tu afford?
 
Code:

kaka baadhi ya takwimu/taarifa zako sio sahihi, lakini hilo sio muhimu, kuchangia kwenye swali, kwa kifupi ni kwamba "mini" hupunguzwa bei, ukubwa na hata ubora​
 
kama ipi na ipi mkuu Millah. Nimezipata nyingi apo gsmarena
 
Last edited by a moderator:
Wao walete tu ila bei wasituumize. Hizi simu nazo mhh sijui zinatusaidia kuondoka kwenye umaskini au ndo zinatuzidishia gharama na kwa hiyo kuongeza umaskini.
 
mkuu maana ya mini ni hii

''reduced size in comparison with others of
its kind”

hapa ina maanisha kama galaxy sIV ina 4.99 inch ukubwa wowote kuanzia 4.9899999999999........... Hio ni mini.

Kwa kioo cha 4.3 inch kua mini ni sawa maana s4 yenyewe ina 4.99

sema ukija kireality zaidi unakuta hizi mini ni kama kuwachanganya wateja maana wapo watouziwa galaxy sIV mini kwa price ya sIV yenyewe bila kujijua.
 
haya ndio majanga sasa? dah, nadhani hawa jamaa wangeacha haya mambo ya mini.
i heard ata apple nao wata release soon iphone "mini"
 
Hata bei zake nazo zinatofauti bei ya galaxy 3 kubwa kuliko ya mini galaxy
 
Kwa mfano S4 sio 6" ni 4.99" au unaweza kusema tu 5".

mkuu ameandika .6 akimaanisha 0.6 angalia kwa nyuma kuna nukta. 0.6 ni difference baina ya galaxy s4 na s4 mini.
4.9-4.3=0.6
 
Samsung ni moja ya Makampuni yanayotafuta faida "kwa nguvu zote"!!
 
Kwa mfano S4 sio 6" ni 4.99" au unaweza kusema tu 5".

Aahh kaka nimesema mini na S-IV zina different ya .6" (point 6 inch au niseme 0.6") maana S-IV yenyewe kama ulivosema ina 4.9" hafu mini ina 4.3 ukitoa unapata .6" au sio? Pamoja kaka Millah
 
Last edited by a moderator:
Aahh kaka nimesema mini na S-IV zina different ya .6" (point 6 inch au niseme 0.6") maana S-IV yenyewe kama ulivosema ina 4.9" hafu mini ina 4.3 ukitoa unapata .6" au sio? Pamoja kaka Millah
Ni 4.99" sio 4.9, kwa hiyo ni karibu na 5" kuliko 4.9
 
Back
Top Bottom