Mie Sitoishangilia Brazil World Cup!!!!

Mi ntazidi kuwapenda.......kwa sababu hawakunifuata kuniomba kuipenda, niliwapenda mwenyewe kwa kuvutiwa navyo...so hata wangewatemea mate wachezaji wa stars kwa kufanya tackling za kitoto wakati samba boys wanaelekea kwenye world cup mi ningeona poa tu.

Imagine ile tackle from behind aliyofanyiwa Kaka, unafikiri angekuwa zidane angefanyaje.....angempiga kichwa jamaa ya taifa starz!!

So ukigoma kuishangilia mi naona unajikosesha raha tu, ni sawa na kuzira kumpa uroda mkeo na mnalala nae kitanda kimoja!!
 
Back
Top Bottom