hiki ni chakula haifai kufanya mamba kama haya ni kufuru........?
afu ikasahau sketDunia imevaa koti [emoji1] [emoji1]
Picha imerushwa mtandaoni .... wala mie cjawaandaa hao kuku .... sasa mawazo yangu ya ajabu ni yapi hayo? .....Acha kuchezea chakula kwa mawazo yako ya ajabu [emoji2][emoji2][emoji2]