Mie naunga mkono Kikwete ni dhaifu sana, he is too weak n boring sometimes

kweli ndugu fikra zako zimewekwa uzio,naamini unavaa miwani ya mbao!alichukua nchi kuongeza umaskin?gharama za maisha zimekuwa juu ukilinganisha na vipato vya watu!wewe ni mmoja kati ya walioweka akili zao mfukoni,kama alichukua nchi ili aifikishe hapa tulipo,bora asingepewa nchi!angalia deni la taifa linavyokua,angalia udhibiti wa pesa ulivyo mbovu!mtu akileta hoja,hata kama ina mantiki anapuuzwa,ona mbatia alivyowaumbua!sasa mmeleta div 5!kweli sikio la kufa...!
Dah! Enzi hizo, naona watu wameishasahau kwa kasi ya ajabu!
 
Kama kweli hujaelewa kilichoandikwa na mleta maada na mantiki yake then an idiot is clever than you are!

Namkumbuka Kikwete kwa kutengeneza masikini wengi ma matajiri wachache, watu kutoeshimu sheria, rushwa, madawa, kusaidia marafiki na watoto zao.....
 
Back
Top Bottom