Mnachekesha kweli, Makosa ya Mkapa mnataka hakimu awe KIKWETE, kwa nini hamkumhukumu
wenyewe kama mnavyofanya kwa JK hivi sasa tena kwa makosa ya mwingine?
Basi hajuwi kwanini aliutaka urais. Hiyo ndo kazi ya kiongozi kurekebisha, kudumisha heshima na nidhamu kusimamia maadili nk.
Nawewe pia hujuwi unatetea nini. kama Mkapa alikwiba ulitaka nani ashughulike na upuuzi huo. Ngoja waingie wengine
Nadhani atasalimika mzee mwinyi tu, lakini akina Chenge, Kikwete, magufuli, Mkapa, Mzee wa ndovu nk lazima wawajibe kwa
kushindwa kuiheshimu na kuisimamia katiba.