Mie naunga mkono Kikwete ni dhaifu sana, he is too weak n boring sometimes

ni kweli mkuu,mfano mzuri ni rasimu ya wananchi,yeye kwa kusimamia upande wake na si wa wananchi kabariki mchakato usio na tija!
Kama hataki kujua matatizo ya wananchi na kuyapa kipaumbele,atajua kwanin tz ni maskini?
Walaumuni UKAWA kuacha kufanya walichotumwa na Wananchi na kuanza kuranda randa mtaani. Jk alisema alisema hajui kwa nini Tanzania ni maskini kwa sababu ya watu kama nyie anaona fursa zipo lakini watu wake wamekalia majungu tu na kutaka pesa ziwaingie mifukoni bila kufanya kazi
 
Mkapa alifanya nini kumshinda JK?

Pamoja na makosa kibao ya mkapa likiwemo la kujiuzia mgodi wa kiwira coal mine bado ni bora mara 1000 kuliko huyu kikwete.

a) Unafaham wakati anakabidhiwa madaraka kutoka Mkapa hazina ilikuwa imenona? Jamaa yako akalewa akaanza kuzigawa kifisadi

1. Mamilioni ya Kikwete

2. Mikopo kwa akina mama wa ccm

3. Benki ya kuibia hera ya wanawake Tanzania nk

b) Ukitafakali deni la taifa kwa wakati huo na sasa nimajanga makuu, kikwete ameweza hata kukopa mara mbili na zaid ya

walivokuwa wanakopa wengine. Kutoka trilion 3 mpka saba/year huu si ufisadi ila huyu nimuuwaji.

c) Huduma za msingi kwa jamii kama Afya na Elimu vilikuwa na hadhi yake, tumeshuhudia watoto mwakajuzi wakipata zero 6o%. na upande wa Afya tunashuhudia sasa kila mtu mwenye vijisenti anaruka Kutibiwa ughaibuni. Heshima ya Muhimbili imetoweka kabisa.

Haya nimachache, hatujaongelea madawa ya kulevya, maliasili utalii na mbuga zetu, Richimondi kuvunjwa mara

kadhaa baraza la mawaziri, mauwaji na utesaji hovyo wa raia, kesi za kubambikiana, ulipuzi wa mabomu, mauwaji

ya mashekh na mapadri, tindikali nk Kikwete nizaidi ya asijuwa majukum yake.
 
ni kweli mkuu,mfano mzuri ni rasimu ya wananchi,yeye kwa kusimamia upande wake na si wa wananchi kabariki mchakato usio na tija!
Kama hataki kujua matatizo ya wananchi na kuyapa kipaumbele,atajua kwanin tz ni maskini?
Walaumuni UKAWA kuacha kufanya walichotumwa na Wananchi na kuanza kuranda randa mtaani. Jk alisema alisema hajui kwa nini Tanzania ni maskini kwa sababu ya watu kama nyie anaona fursa zipo lakini watu wake wamekalia majungu tu na kutaka pesa ziwaingie mifukoni bila kufanya kazi
 
Hayo yote unayoyalalamikia unalinganisha na nchi gani? Udhibiti wa pesa umekuwa mbovu, sababu nini, umeangalia uchumi wa dunia ukoje?
Jaribu kufanyia analysis mambo yako kabla haujabwatuka.

ona huyu mwingine,naona wewe hujaweka akili zako mfukoni,umeziacha kabsa kwny droo!
Angalia watu wanavyojichotea mapesa na kuyaficha nje ya nchi!yale mabilion yaliyofichwa uswis hujui?
Angalia,eti ugeni wa viongozi unakuja tunaambiwa gharama ya mapambo bilion 6,kweli watanzania wengne ni hasara!haya na wale watumish 2 walioenda training ya muda mfupi nje kwa bilion 3 hujaipata?umo kwny system,si bure!
 
Kama kweli hujaelewa kilichoandikwa na mleta maada na mantiki yake then an idiot is clever than you are!

Najua mnatoa mapovu kwa vile mnajua mmeandika pumba tu humu hakuna jipya, swaga zile zile zisizomnyika usingizi rais, subirini mtakuja kumkumbuka kwa mema yake na moyo wa staha kwenu mavuvuzela
 
Mhhh! Waache wafu, wazike wafu wao.

Hili tunalijua. Ila kama Muungwana sio Vizuri kuona jambo la Uonevu ukaliacha hivi hivi.

Tunajua, Ukimfadhili Punda, siku zote fadhila zake ni Mateke.Basi oneni haya kidogo jamani. Wapeni watu sifa zao za kweli enyi kizazi cha Laana.

Yaani mnataka kutuambia kua, Raisi wenu Shupavu ni yule alieua watu kule Zanzibar, Mwembechai, kauza Mashirika ya UMMA kwa bei chee. Kauza Nyumba za Serekali na Viwanda kama vile Mtibwa Sugar, Kauza Mgodi wa Kiwira Kwa bei chee, Kaingia Mikataba ya Madini take ya Tanzania ikiwa 3%. Na EPA pia nayo mmeisahau???

Mnasahau kua Tuliongozwa na kiongozi mkubwa huku akiwa na Diploma tu, ila hiyo haikua soo. Dhana ya Kumchagua rafiki yako pale sio tatizo. Pumbavu zenu.

Huyu nae akifa(Rais aliekua shupavu kuponda Mali za Watanzania kufa kwaja) pia tunatarajia kumtangaza Mtakatifu wa Pili wa TANZANIA, Kwa nyimbo na Mapambio ya Mziki Mnene.

Lakini ili kuzipa nguvu hoja zenu za Udhaifu wa Rais huyu, ni vyema KKT wakatoa waraka kama walivyo fanya kwa yule Rais Mwengine aliekua Mdhaifu pia. Ambae nchi yake ili jaa rushwa na ilikua inaongozwa na wanawake(Wakati huyo Mheshimiwa sana Marehemu aliekua akimpiga vijembe vya Kike Raisi aliekua Madarakani wakati huo, Nchi ilimshinda kwa njaa na umasikini ulio kithiri akatangaza kung'atuka). Nadhani huu ni wakati Muafaka. Kwani hata kipindi kile, Waraka ule ulitolewa awamu yake ya Pili.
 
Atakumbukwa na ndugu,jamaa na marafiki zake wanaopeana madara kwa kujuana!
 
Bora mtu akutukane kwa maneno lakini si kwa vitendo........huyu kiongozi asiye na vigezo amekidhalilisha kiti cha uraisi,amedhalilisha awamu ya nne,amedhalilisha thamani halisi ya uongozi ngazi ya uraisi,amedhalilisha katiba kwa kuigeuza toilet pepa,amedhalilisha utu na uzalendo wa watanzania.Malipo ni hapa hapa duniani mbinguni bi kupumzika tu.
 
Najua mnatoa mapovu kwa vile mnajua mmeandika pumba tu humu hakuna jipya, swaga zile zile zisizomnyika usingizi rais, subirini mtakuja kumkumbuka kwa mema yake na moyo wa staha kwenu mavuvuzela

Ukweli una tabia moja ya ajabu sana; unakuwezesha kumdanganya kila mtu unaedhani anaweza kudanganyika ILA HAUWEZI KUKURUHUSU UKAJIDANGANYA WEWE MWENYEWE! Moyoni mwako kila siku ukweli utakukumbusha kuwa ukweli ni huu, no matter unachotaka kiwe.
 
Mie nimekubaliana na makala hii asilimia 100% hebu nawe isome then utoe mchango wako wa kutoka moyoni. mie ni mwana CCM tangu high school ila linapofika swala la kusema ukweli ni bora niwe wazi.
=========================

Chanzo: Raia mwema.
Ninachoweza kusema katika makala hyo ni kwamba UKUBWA NI JALALA na ndicho mwandishi alitaka kufanya ili naye aonekane karusha takataka zake kwenye jalala ambalo ni KIKWETE. NENO "DHAIFU" lililojirudia mara kwa mara kwenye makala hiyo siyo geni kwa KIKWETE na ni neno lililosemwa na KIJANA wa KIDATO CHA SITTA kule BUNGENI, JOHN MNYIKA, ilikuwa ni lazima atafute tusi zuri kwa Rais ili elimu yake ya kidato cha sita ipate kurutubishwa kuwa naye anafaa kuwa katika jamii ambayo ni maadui wa rais na hakika umaarufu wake uliongezeka kwani kila kona aliopita wale wote ambao furaha yao haitimiliki bila ya kusikia matusi walimshangilia naye akaniona mheshimiwa wa kweli kweli. NJIA PEKEE ambayo kwa kweli JAKAYA amewaweza ninyi maadui zake ni kule kukaa kwake kimya kama mjinga huku mkimporomoshea matusi, dhihaka, dharau n.k. siyo siri hili linawauma sana na ndio maana mnabaki kulalama labda atajitokeza kujibizana nanyi pasi na mafanikio.

JAKAYA kwa kweli umewaweza wapinzani wako, chapa kazi baba, waache wamuenzi kijana wao MNYIKA na UDHAIFU wake wa kielimu wa kutafuta umaarufu kwa kukutukana
 
Mhhh! Waache wafu, wazike wafu wao.

Hili tunalijua. Ukimfadhili Punda, siku zote fadhila zake ni Mateke. Raisi Shupavu ni yule alieua watu kule Zanzibar, Mwembechai, kauza Mashirika ya UMMA kwa bei chee. Kauza Nyumba za Serekali na Viwanda kama vile Mtibwa Sugar, Kauza Mgodi wa Kiwira Kwa bei chee, Kaingia Mikataba ya Madini take ya Tanzania ikiwa 3%.

Huyu nae akifa pia tunatarajia kumtangaza Mtakatifu wa Pili wa TANZANIA.
Mkuu MZIMU

Wakati mwingine mie huwa nacheka sana napawasoma watu humu wanausifia utawala wa Mkapa.

Kweli unachosema kuna siku watamtangaza mtakatifu.

Hiyo bayana yako ni somo tosha.
 
Last edited by a moderator:
Bora mtu akutukane kwa maneno lakini si kwa vitendo........huyu kiongozi asiye na vigezo amekidhalilisha kiti cha uraisi,amedhalilisha awamu ya nne,amedhalilisha thamani halisi ya uongozi ngazi ya uraisi,amedhalilisha katiba kwa kuigeuza toilet pepa,amedhalilisha utu na uzalendo wa watanzania.Malipo ni hapa hapa duniani mbinguni bi kupumzika tu.
Kuna kila dalili siku JK akitoka madarakani, na vibarua vyenu vitakuwa vimeishia hapo, naona mpo kazini
 
Mhhh! Waache wafu, wazike wafu wao.

Hili tunalijua. Ukimfadhili Punda, siku zote fadhila zake ni Mateke. Raisi Shupavu ni yule alieua watu kule Zanzibar, Mwembechai, kauza Mashirika ya UMMA kwa bei chee. Kauza Nyumba za Serekali na Viwanda kama vile Mtibwa Sugar, Kauza Mgodi wa Kiwira Kwa bei chee, Kaingia Mikataba ya Madini take ya Tanzania ikiwa 3%.

Huyu nae akifa pia tunatarajia kumtangaza Mtakatifu wa Pili wa TANZANIA.

Mkapa ni chanzo cha matatizo, yote uloyasema nikweli kabisa, lakini huyu wasasa imekithiri amechukuwa hatuagani?????????

Nilidhani Kikwete angejitutumuwa walau

1. kurejesha mali zote za watanzania zilizotolewa kinyemela na mkapa

-Nyumaba za serikali zingerejeshwa sambamba na kumuwajibisha magufuli......kinyume chake kwa udhaifu anampa shavu zaid

-Viwanda, migodi nk vingerejeshwa serikali napia kuvifufua, vijana wengi wangepata ajira mfano viwanda vya nguo nk kikwete ziiii

-Mikataba feki yote ingefutwa kwa mujibu wa sheria, kinyume chake kikwete ameendeleza wizi mpaka kuwapigilia mbali wazee wa gesi Mtwara. madawa ya kulevya, twiga nk kusamehe hata majizi ya EPA eti rudisheni-wezi wa kuku wanafia gerezan

2. Angekuwa mbunifu wa kuikuza na kuindeleza elimu na Afya ya watanzania, badala yake tumeshuhudia madudu juu ya madudu.

Udhaifu wa huyu bwana katika kufanya maamuzi, kuchukuwa hatua na kuwajibishana ni mkubwa kupita kiasi, sasa hivi TRA

wazee wakodi zetu wanajitekea tu, nayeye kama Rais anacheka na kupaa angani mithili ya popo ama Bata kukin tutarajie ninin

kwa mtu huyu???
 
Mnachekesha kweli, Makosa ya Mkapa mnataka hakimu awe KIKWETE, kwa nini hamkumhukumu
wenyewe kama mnavyofanya kwa JK hivi sasa tena kwa makosa ya mwingine?
 
Mhhh! Waache wafu, wazike wafu wao.

Hili tunalijua. Ukimfadhili Punda, siku zote fadhila zake ni Mateke. Raisi Shupavu ni yule alieua watu kule Zanzibar, Mwembechai, kauza Mashirika ya UMMA kwa bei chee. Kauza Nyumba za Serekali na Viwanda kama vile Mtibwa Sugar, Kauza Mgodi wa Kiwira Kwa bei chee, Kaingia Mikataba ya Madini take ya Tanzania ikiwa 3%.

Mnasahau kua Tuliongozwa na kiongozi mkubwa huku akiwa na Diploma tu, ila hiyo haikua soo. Dhana ya Kumchagua rafiki yako pale sio tatizo. Pumbavu zenu.

Huyu nae akifa(Rais aliekua shupavu kuponga Mali za Watanzania kufa kwaja) pia tunatarajia kumtangaza Mtakatifu wa Pili wa TANZANIA, Kwa nyimbo na Mapambio ya Mziki Mnene.

Ndugu huyo ninaeamini unaem-refer hapa hakuwa kiongozi bora, ila alikuwa bora kiongozi! Na nakuthibitishia, Getrude Mongela alietoa suggestion iliyowezesha huyo "diploma holder" awe "kiongozi" alipewa nafasi ya kuongea kwa kuwa mwenyekiti wa kikao hicho hakutegemea kuwa huyo mama angekuwa zuzu kiasi hicho na angejua asingempa hiyo nafasi ya kusema alichokisema!
 
Mhhh! Waache wafu, wazike wafu wao.

Hili tunalijua. Ukimfadhili Punda, siku zote fadhila zake ni Mateke. Raisi Shupavu ni yule alieua watu kule Zanzibar, Mwembechai, kauza Mashirika ya UMMA kwa bei chee. Kauza Nyumba za Serekali na Viwanda kama vile Mtibwa Sugar, Kauza Mgodi wa Kiwira Kwa bei chee, Kaingia Mikataba ya Madini take ya Tanzania ikiwa 3%.

Mnasahau kua Tuliongozwa na kiongozi mkubwa huku akiwa na Diploma tu, ila hiyo haikua soo. Dhana ya Kumchagua rafiki yako pale sio tatizo. Pumbavu zenu.

Huyu nae akifa(Rais aliekua shupavu kuponda Mali za Watanzania kufa kwaja) pia tunatarajia kumtangaza Mtakatifu wa Pili wa TANZANIA, Kwa nyimbo na Mapambio ya Mziki Mnene.

Lakini ili kuzipa nguvu hoja zenu za Udhaifu wa Rais huyu, ni vyema KKT wakatoa waraka kama walivyo fanya kwa yule Rais Mwengine aliekua Mdhaifu pia. Ambae nchi yake ili jaa rushwa na ilikua inaongozwa na wanawake. Nadhani huu ni wakati Muafaka. Kwani hata kipindi kile, Waraka ule ulitolewa awamu yake ya Pili.
Kiongozi, umemaliza kila kitu, kwa nini wanaogopa kumwa- attack Mkapa? hawa wamelewa uhuru wa kuongea aliowapa KIKWETE, na bahati nzuri JK anajua kabisa wanabwabwaja kwa sababu ya uhuru aliowapa na ndiyo maana anawapuuza
 
Back
Top Bottom