Hahaaaaaaa hilo jiko aiseeeAcha wivu mkuu.
Cheki jiko langu la kibilioneaView attachment 496946
Numbisa kumbe wewe bilionea?Bill Gates, Mark Zuckerburg, Donald Trump, myself and other billionares would like to wish you a HAPPY EASTER.
Nioe mimi nitakufulia hata vyupi ilimradi niishi kwakoEe bana,benki yangu kibubu
Ipitie vizur jnne nikaandike barua ya kuacha kibarua...aiseee ngoja nipitie cv yako maana maombi kama yako yapo mengi mkifaulu wanne mtatosha kabisa
Sasa unafikiri ningethubutu kuomba kuolewa utanipenda kama handbag popote utakapoenda hutoniachaSawa sawa hakikisha unakuja na sura ya kwenye passport(avatar)
umario kazi ngumu haha...sipatii picha nyie ndiyo mngekuwa mnatuoa mngetutesa balaaWaaaoww nn handbag ukiwa mvumilivu ntakupenda kama make up bila kufukia chunusi na makovu nje sitoki
Hivi sasa hivi hamna michepuko nyie?Hahaa aisee natamani itokee hiyo chance,ntajazaje michepuko kama mnavyofanya na kurudi home mida yoyote hata kama ni alfajir
Hata sisi hatuwafanyiagi hivyo..mungu anakuonaHatuna kabisa ila tunatamani sana mambo hayaView attachment 497299View attachment 497300
Ujue unanichekesha saana...hivi zinatakiwa zechezeweje maana usikute na mimi nimo.Weuwee wapo wengine wataalam wa hizi mamboView attachment 497304