Hahahaaaa.... Hujapata tuu pamoja na maelezo yote yale? Kila la heri..!
teh umerudi,topic yako haijafutwa ingia love conect utaikuta....
Yule wa nyakati zile alipata, wameshamalizana. Hii ni second serving, lol!
second selection? Amekuwa shule ya kata?
Hivi enzi ukiwa kijana ulishakutana na mkaka akakuhadithia amepata uhamisho wa chuo? Nadhani anawazia uhamisho wa std 7. Ahughuli!
We unatafuta mke au wa kumgegeda?naona kama hauko serious vile!
sema meku,za kufichwa?!!..nahisi anahitaji wa hiyo kitu bold maana mmh!!!
Nina miaka28,mrefu,natafuta mwanamke mrefu na mweupe,kwa picha tembelea facebook,,Bumija phd,awe na niaka21-28,naahidi penzi tamu kama embe dodo,piga 0712336687,Mwah.....