Daaah shikamoo dada najua huwezi nikumbuka... mara ya mwisho nilikua na nae Alfred pale chuo cha Ardhi nilimtembelea prof Mbyopyo zamani I mean..nikija Tz ntamtafuta nakijua kichwa kile
Kuna magonjwa kama malaria kipindupindu nk hayajui uchawi ninini..asipotibiwa hospital anakufa bahati mbaya ama nzuri wengi wanajua mitishamba hivyo hujitibia