Mida imekaribia

Mida imekaribia

Joined
Feb 20, 2012
Posts
93
Reaction score
11
Wakuu mida ya ibada imekaribia. Tujiandae bila kuchelewa.
Tusitafute visingizio manake tunajitahd kuwah makazini lakin church ful kuchelewa. Ijumaa kuu njema!
 
asante na ww pia...kumbuka sadaka mchungaji!
 
Poa Kaboka Mchizi..

Na uwakumbushe pia kuvaa nguo nyeusi.. Maana Mamndenyi tayari kashaharibu... Kavaa utadhani anaenda kitchen party!

Bagah kavaa kama anaenda BM Saloon & Hair clinic..
 
Poa Kaboka Mchizi..

Na uwakumbushe pia kuvaa nguo nyeusi.. Maana Mamndenyi tayari kashaharibu... Kavaa utadhani anaenda kitchen party!

Bagah kavaa kama anaenda BM Saloon & Hair clinic..

Mkuu gambachovu kuna uzi nilishawah anzisha kuhusu kero ya kuvaa mavazi yasiyo ya ibada, i hope wameshabadilika!
 
Halafu Rev Fr..

Jina langu ni refu sana! Hivyo watu huniita Gee Cee..
 
Mchungaji anapiga debe sadaka iongezeke lol.asant mch najianda nakuja saaa hivi
 
Back
Top Bottom