Expert Judgement
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 441
- 743
Hahah jibu makini sana hili.Nani amewataja hivyo?usitake kutuumiza kichwa kwa mawazo yako ya kipumbavu
Alisikika akisema mwanasaikolojia mmoja miaka kadhaa iliyopita
Hayo yalitajwa lini na wapi?Nikwanii mwanaume anatajwa km microwave na
mwanamkw anatajwa km oven(electrical)
fafanua inapokuja katika suala la mapenzi
ππππππ baharia mmoja alisikika akisemaNani amewataja hivyo?usitake kutuumiza kichwa kwa mawazo yako ya kipumbavu
Huyu baharia huenda alipata jiko siet to ππππππππππππ baharia mmoja alisikika akisema
Fafanua kdg nataka kuelewaMafundisho ya kitchen party hayoo japo yana ukweli wake.
Utafafanuliwa km hutaki kufafanuaSifafanui
Namm nimeakia Jana mpk sahz sielewi
mtoa mada usituchoshe
Nani amewataja hivyo?usitake kutuumiza kichwa kwa mawazo yako ya kipumbavu