Microsoft yazindua Windows 7 katika Kiswahili


mimi ninachopinga ni kwamba most (if not all) of the knowledge is stored in English...... si kweli..... maana ukiwa francophone watu wa nchi hizo huamini kwamba most if not all of the knowledge is stored in French.... watu wa luthophone wanaamini kuwa ujuzi uko katika Kireno, spanscaphone huamini kuwa ujuzi au elimu iko kwenye Kihispania....

Hivyo elimu/ujuzi hutegemea lugha ambayo kwa mara ya kwanza ilibeba ujuzi..... kwetu sisi kiingereza ndiyo lugha ya kwanza...... na ndiyo tunakiona ni lugha ya kitaalam...... na ndiyo maana hata mtu anapoelezea jambo fulani utakuta anasema kwa lugha ya kitaalam anataja jina la kiingereza (eti kwa kitaalam)......
 
hapo ndo nnamashaka napo..vingamuzi tu watu ilikuwa shida kuelewana...sasa leo unawasha computer una click start unakutana na neno limeandikwa 'KIMBIA'..(Run)..na mtu ndo anajifunza computer ...hapo sasa!!
 
hapo ndo nnamashaka napo..vingamuzi tu watu ilikuwa shida kuelewana...sasa leo unawasha computer una click start unakutana na neno limeandikwa 'KIMBIA'..(Run)..na mtu ndo anajifunza computer ...hapo sasa!!

Hapo penye redi...... anaweza toka mbio huyo mwanafunzi mpya.... anaweza akahisi pengine kuna hatari..... hilo ni tatizo la direct translation za wakenya.......... teh teh.... kweli microsoft ni kazi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…