Microsoft wazindua windows phone 8.1 kwenye build 2014

Natamani pia Nokia waweze kutengeneza housing kama za Huawei P6 au iPhone kwa mbali, naamini kuna watu wanaacha kutumia Nokia kwa sababu ya ile building.

Kwa mfano HTC One imepata hit sana kwa sababu ya jumba, Nokia wajaribu kuangalia hili swala.

kaka interms ya build quality sidhani kama kuna area nokia kaacha sababu ndio eneo pekee ambalo nokia ni monopoly bado. huwezi fananisha build quality za htc au huawei na nokia. labda simu zinazotumia glass kama xperia z series na iphone ndio nokia hana simu za design hio.

hapa home zipo htc one 2 ilichukua mwezi tu ile htc one kubaduka lile neno htc kwa nyuma ikabidi haraka tukanunue cover. lakini simu za nokia hazihitaji cover unatumia miaka miaka iwe ni alluminium au polycarbonate nokia wanatengeneza material yao vizuri. hebu angalia lumia 930 na lumia 925 uone alluminium ilivyokaa vizuri na plastic linavyopendeza.

lumia 925
lumia-925-ATT-black.jpg

nokia australia walikua wanakuruhusu kuidondosha kabla ya kuinunua jinsi walivyokua na uhakika na build quality yake.

lumia 930.
Nokia-Lumia-930-0.jpg

unaweza mponda nokia kwenye wp au mambo mengine ila suala la build qualiy nokia ni next level
 
Hiyo ya 930 sijaiona, ila hizi zingine zina muundo ambao hauna mvuto sana, kwenye ugumu hakuna ubishi Nokia wanaongoza.
 
Wana kazi kubwa iPhone wapo juu, waendelee kujitahidi lakini hadi tunapokwenda mitamboni iPhone bado mbabe. I was here.
 
Back
Top Bottom