Microsoft wazindua windows phone 8.1 kwenye build 2014

Microsoft wazindua windows phone 8.1 kwenye build 2014

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,280
Reaction score
44,417
ni miezi 18 sasa imepita toka windows phone 8 izinduliwe october 2012 na tangu hii os izinduliwe haikupata update kubwa zaidi ya update ndogo za GDR. leo microsoft kwenye BUILD 2014 wameizindua wp8.1 kwa madeveloper. hii itakua ni update kubwa itakayoongeza vitu vingi sana kwenye windows phone. sababu vitu ni vingi nitajitahidi kuweka vichache muhimu.

one app store
tunajua kuwa ndoto za microsoft ni kutengeneza os itakayofanya kazi kwenye kila kifaa hivyo kwa kuanzia wameanza na app store itakayounganisha win rt, windows 8.1 na windows phone 8.1. pia madeveloper sasa hivi watatengeneza app moja na itakubali kufanya kazi kwenye os zote 3. wakiunganisha hii store na madeveloper wakiupdate application basi store ya windows phone itafikisha application 400,000. pia update hii itawanufaisha magamer sababu xbox sasa itaweza kuopen hizi apps za windows za metro. mfano mzuri wa faida hii ni app moja ya office itafanya kazi kwenye laptop, tablet na simu.
powerpoint-build-2-100259179-large.png

cortana
kama vile ambavyo ipo siri au google now hii cortana itakuwa ni personal assistant ya windows phone. kwa wale ambao hawaelewi inakuaje hii ni akili ya kutengenezwa ambayo inakua kama msaidizi wako wa kila siku. kwa wachezaji magame watakua wanamjua cortana ni character kwenye game bora la xbox linaloitwa halo.
cortana-microsofts-bing-powered-assistant.png

app kama hizi zinakua ngumu kuzitumia huku kwetu africa sababu ya lafudhi zetu, sijajua microsoft watakua wamefanya nini ili hata kwetu ziwe na maana.

notification centre
kwenye windows phone notification zinaonekana kwenye tiles ila kutokana na watu wengi kuiomba feature ya notification centre microsoft kaileta kwenye hii update, utakua unaipata kama android au ios kwa kuswipe toka juu kuja chini.
actioncentre-360x600.jpg

background image
kama ilivyo windows 8.1 huku kwenye wp pia utaweza kubadili picha kwa kueka yako ila kwa style tofauti kabisa
background_image_WP8.11.jpg

hizo ni chahce tu nilizotaja kuna mamia ya vitu vilivyoongezwa nenda hapa kuviona
Windows Phone 8.1 Features | Windows Phone Central

wp8.1 itapatikana mwezi huu tarehe 10 kwa wale madeveloper na wale watu wa kawaida watasubir miez kadhaa.

je unafkiri microsoft ana chance ya kuwapita ios na amdroid kwa update hii?
 
Nionavyo
Microsoft ataongeza wahamiaji wengi! Watakaotoka Android Na iOS pamoja na watumiaji wapya kabisa a WP!

Lakini kuwapita android itachukua Muda kidogo mana watu wengi waliishakuwa na interest kwenye android na wengine walitamani sana Kuijaribu!

Hivyo hii ita mpa mwanya mkubwa sana na kuwapa changamoto Android na iOS ingawa nao hatujui watatuletea nini sasa!
Si unajua hawatakubali tutashangaa tu nao wamefanya yao

Na Shukrani ziwaendee Google kwa kuipnga kabisa Dual OS (huawei) mana ingeleta shida sana!

BTW
ametisha sana kwenye One app Store
nimeipenda sana hiyo Cortana!

Huyu atanivuta soon baada ya kuleta apk nyingi za bure, ila kama atakomaa na ubepari wake mmmh ntabaki android maana atakama anauza bado kuna 4shared, blackmart na madudu mengine.
 
Huyu atanivuta soon baada ya kuleta apk nyingi za bure, ila kama atakomaa na ubepari wake mmmh ntabaki android maana atakama anauza bado kuna 4shared, blackmart na madudu mengine.

APK ni android file package! Haiusiani na WP!
.
.
 
wewe najua una ugomvi na tiles, tuombe hio windows treshold ya mwakani waeke option ya icon kwenye wp kama rumors zinavyosema
Hapo ndipo ugomvi ulipo, ikiwa watabadili hiyo UI yao ya tiles nitafunga harusi nao, mi ni kati fans wakubwa wa nokia ila walivyohamia tu WP hamu ikaniisha ingawa sikuwatupa kabisa ninayo asha 210, nikajipa matumaini baada ya kusikia simu za nokia android zinatoka, wakazileta lakini UI ikifanania kwa mbali na WP, nikaona ni yaleyale WP UI
 
WP wanakazi kubwa sana kunivuta

ngoja mi ntajaribu ku install backtrack tena kwenye Droid mana!
Hii divice ya Nokia
hawatonikamata kwa $1000

Nokia_N900-pwn_phone_full-300x300.png

A mobile-phone-based pentesting
platform
Includes Aircrack-NG, Metasploit,
Kismet, GrimWEPa, SET, Fasttrack,
Ettercap, nmap, and more
Custom pentesting desktop with
shortcuts to all tools!
One-click evil AP, WEP cracker, and
packet capture!
Built-in wireless chipset supports
packet injection, monitor mode,
and promiscuous mode.
Includes phone, all standard
accessories, 2 batteries, & coupler
for USB host mode.
 
nokia x series za china ziliuzwa na custom os inaitwa lewa hazikua na ile ui. kama nokia mwenyewe ameship na custom os tegemea hii simu iwe very easy kuchakachulika. na hii lewa ina miui icons ambazo mimi siwezi tumia simu bila hizi icons. cheki screenshot ya hii lewa os.

nokia-x-custom-rom-installare-lewa-os-guida-e-L-4464iQ.jpeg
 
hio ni n900 legendary. jamaa wanachangishana watengenezewe mpya yenye specs kubwa zaidi. sasa hivi washaiport kernel ya ios kwenye n900
 
hio ni n900 legendary. jamaa wanachangishana watengenezewe mpya yenye specs kubwa zaidi. sasa hivi washaiport kernel ya ios kwenye n900

Bora wachangishane tu maana Nokia wameishaiweka kando!
Na ni Bonge moja la simu ever!

Naona kunajamaa wana fight kuipa Android OS!
Mana maemo wengi hawakuipenda wakaipa cssu thumb ambayo ni bonge moja la Os na inaruhusu ku run Run whatsapp yao waniita yeriyeri sijui!

Na gharama hiyo ya $1000 ni kuna jamaa wanajiita pwn express wanafanya free shipping na hapo ilipo wanaiita pwned Nokia N900 ikijumuisha na hizo Tools kwaajili ya pentesters!

Afu chief hivi bado Microsoft wataendelea kutumia brand ya NOKIA LUMIA au ?
 
inarun android toka zamani kaka.

na jina watatumia lumia. kuna simu zitaitwa nokia lumia na kuna ambazo zinaitwa lumia peke yake. watafanya mabadiliko taratibu.

jina lumia linamilikiwa na microsoft sasa hivi na jina nokia microsoft kalikodisha kwa miaka 10
 
Hizi hata wakileta huku nitanunua ila hiyo lugha sasa maana naona kichina tupu
nokia x series za china ziliuzwa na custom os inaitwa lewa hazikua na ile ui. kama nokia mwenyewe ameship na custom os tegemea hii simu iwe very easy kuchakachulika. na hii lewa ina miui icons ambazo mimi siwezi tumia simu bila hizi icons. cheki screenshot ya hii lewa os.

nokia-x-custom-rom-installare-lewa-os-guida-e-L-4464iQ.jpeg
 
One app store! Mimi ni dev. wa windows, this is going to be interesting!
 
Natamani pia Nokia waweze kutengeneza housing kama za Huawei P6 au iPhone kwa mbali, naamini kuna watu wanaacha kutumia Nokia kwa sababu ya ile building.

Kwa mfano HTC One imepata hit sana kwa sababu ya jumba, Nokia wajaribu kuangalia hili swala.
 
Back
Top Bottom