Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,228
- 44,230
- Thread starter
- #21
-magari ya kujiendesha yenyeweNavuta picha miaka 20. Ijayo technology itakuwa wapi. Ila izo bei kweli za gari
-augment reality na virtual reality
-internet of things
-magari ya kujiendesha yenyeweNavuta picha miaka 20. Ijayo technology itakuwa wapi. Ila izo bei kweli za gari
microsoft leo wamezindua pc yao mpya ya all in one ambayo imewalenga zaidi watu wazalishaji mambo ya 3d, graphics etc.
brief specs
picha
- 28-inch PixelSense touchscreen with 3:2 aspect ratio
- Quad-core Intel Core i7 processor
- up to 32GB RAM
- up to 2TB 'rapid hybrid drive'
- Nvidia GeForce GTX 980M graphics
- HD webcam
- Audio port
- SD card slot
- Mini DisplayPort
- Ethernet port
- 4 USB 3.0 ports
- Stereo speakers with Dolby Audio Premium
![]()
![]()
pc hii inakuja na accessory inaitwa dial ambayo ni kama msaidizi wako ukifanya shughuli za utengenezaji picha.
angalia video kujua zaidi
![]()
bei ni kama ifuatavyo
inaonekana Microsoft anamuandama Apple kila corner
- Intel Core i5 / 8GB RAM / 2GB GPU / 1TB storage | $2,999
- Intel Core i7 / 16GB RAM / 2GB GPU / 1TB storage | $3,499
- Intel Core i7 / 32GB RAM / 4GB GPU / 2TB storage | $4,199
Hata ikiandama Apple. Apple itabaki kuwa Apple. Yeye anakuja kufanya leo wakati Mac alianza kuwaza hayo 2007.
Hizo PC zipo hata kwa Apple Inc lakini ni special orders. Same specs.
Pia ukizungumzia Graphic, Mac is the best na Apps nyingi za graphics kwa Mac ni nzuri na Super, expensive.
niliwahi kusikia ipo muhimbili ila sifahamu zaidi, ngoja wanaojua watakujibuChief nilisikia dar kuna free WiFi serikali inatoa vip ixaanza kufanya kazi.
Mkuu,kwani Apple wameshazindua Vifaa vyao!?macbook mpya inakuja na oled taskbar, copy and paste ya lenovo thinkpad carbob
![]()
soon tutaanza kudanganywa lenovo na oem wengine wamemcopy apple. hio thinkpad carbon imetoka muda tu.
ndo wanazindua nowMkuu,kwani Apple wameshazindua Vifaa vyao!?
ni kweli ila haiondoi fact kwamba hio ni replica ya imac..
Kitu akifanya apple ni innovation na courage. Akifanya mwengine ni gimmick. So far apple mwaka huu wanepoteza wajiandae mwakani. They got nothing new to offer their customers. You can't hide the truth all time.macbook mpya inakuja na oled taskbar, copy and paste ya lenovo thinkpad carbob
![]()
soon tutaanza kudanganywa lenovo na oem wengine wamemcopy apple. hio thinkpad carbon imetoka muda tu.
Unajua unachoongea.Microsoft na ukubwa wote ule siku hizi amekua mtu wa kuvizia apple akaribie kuzindua products mpya ndo na yeye azindue zake?
cheki hizi link za mtaniambia microsoft anamuiga apple au Wacom
cheki hizi:
Sasa hivi kila mtu anafanya copy and paste, zaidi wanafanya maboresho madogo kujitofautishaKitu akifanya apple ni innovation na courage. Akifanya mwengine ni gimmick. So far apple mwaka huu wanepoteza wajiandae mwakani. They got nothing new to offer their customers. You can't hide the truth all time.
Sasa mkuu kweny productivities window yupo vizur compare to mac. Ata hardware bado pc zina features nyingi mfano ukiangalia sasahv kuna laptop zina 4k dispay while mac ana retina display ambayo ni 2kUkiangalia hivi vyote hakuna Apple anachomuiga Microsoft, Microsoft amekuwa akimuiga Apple huku akitarajia kumpita kwa kile anachomuiga Apple, mfano mzuri ni kwenye surface pro vs MacBook pro
Sent from my HTC_A9u using JamiiForums mobile app