Microsoft Office 2013

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Nimeona kwa muda sasa microsoft wakiwa wanaitangaza Microsoft Office 2013, Jana wamenitumia email iliyokuwa na preview ya hiyo office wenyewe wanaita microsoft office 2013 preview 365. Nimeinstall lakini ikawa inaleta shinda kidogo kwenye kufungua files, kibaya ni kwamba lazima uitumie ukiwa online so nikaamua kuiondoa. Kama kuna mtu anayo tayari anaweza kutuwekea hapa, au link ya tunapoweza kuishusha tafadhali.

Mi natumia 2010 na nahisi kama nimeichoka sasa
 
Shukran kaka ila naona kama hiyo ni ya 64 bit mi kangu ni 32 itakubali?
ok, sasa hapo hapo kwenye hiyo site kwa juu kulia utaona sehem ya kusearch, we andika office 2013 then search itakuletea na za 32 bit!
 
Nilijaribu kuinstall ila ikawa inaniletea tatizo kidogo kama ile niliweka waliyonitumia microsoft wenyewe. Ninapofungua word na exel inafunguka halafu inagoma inajifunga ila prog nyingine zote zinafanya kazi so nikaamua kuachana nayo. Kwa sasa natumia MS 2010 Professional
 
nimetumia ms zote 2007 na 2010 sikuona tofauti zaidi ya intelliwise feature ya 2010 ambayo ilikuwa inanifanya nitype vitu vya ajabu, nikaiondoa na kuirudisha 2007 mpk kesho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom