Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
mkuu nashukuru ,,sasa hio iso file na extrat au?
maswali mengine bana! Umetaka msaada, umeambiwa nini cha kufanya, bado unaendeleza maswali. Fanya ulichoambiwa, ikishindikana ndio uje na maswali yako ila kama ungefuata maelekezo ya huyo Mkuu ilo swali lako lisingekuwepo.
power iso ina feaures nyingi sana! kama utapenda ku-extract ni wewe ila mimi nashauri ukishamaliza installation ya power iso restart pc yako halafu nenda kwenye hiyo ISO ya office ui-right click then chagua Mount. Hapo itatengeneza virtual CD ROM drive na kukufanya uinstall kama vile unatumia CD
sijawahi jaribu hii ila kwa uzoefu wangu mdogo sidhani kama inawezekana haswa kama unaformat kabisa (labda kama una upgrade) maana ukiwa unaformat itafuta mpka hiyo program uliyotumia ku mount sasa sijui hiyo image ita kuwa accessed vipi tena (na hapa nazungumzia ukiwa na HDD partition labda uwe ume save image humo) ila kama unaiformat yote kabisa ..am sure haiwezekani mkuu..but kama nlivyosema sijawahi jaribu hii kitu..maybe you can give a try afu utuletee majibu!!:smiling:nahitaji kuimount win7 setup ili niinstall kwenye c ambayo nimetumia kuimount je itakubali kufanya installation au itagoma..
nahitaji kuimount win7 setup ili niinstall kwenye c ambayo nimetumia kuimount je itakubali kufanya installation au itagoma..
mkuu nashukuru ,,sasa hio iso file na extrat au?[/QUOusha
ushauri uliopewa embu ufanyie kwanza kazi then mambo yakigoma urudi tena, kama vipi uje na daftari na calculator bila kusahau rula na penseli
HAPO UMEUA KAKA!!!mkuu nashukuru ,,sasa hio iso file na extrat au?[/QUOusha
ushauri uliopewa embu ufanyie kwanza kazi then mambo yakigoma urudi tena, kama vipi uje na daftari na calculator bila kusahau rula na penseli
...... ku-activate kumenishika,,nimejaribu KMS ambayo nimedownload na hiyo microsoft,,,nisaidieni na hili