structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,231
- 906
wakuu naombeni ushauri hii coz ya bachelor of science in microbiology soko lake limekaaje?
mdogo wangu I am a major in that field! sori kukuita mdogo lakini hio field nili clear kwa level ya juu several years back. be specific na nitaku advice. Sitaki kuku discourage! Kwasbabu'hela' kwangu sio 'hela' kwako! Lakini hatungii fields za science kutafta 'hela' wangu not in tz and not anywhere else.
wakuu naombeni ushauri hii coz ya bachelor of science in microbiology soko lake limekaaje?
Thx mkuu,so vp unanishauri niweke chaguo langapi kwenye aplikeshen yangu? Na je ni udsm pekee ndo wanaotoa hiyo coz maana sijaiona kwenye vyuo vingine?ni kozi nzuri sana kwa mtu anayependa tafiti, unaweza ukajiari katika maabara yako mwenyewe, au ukaajiriwa katika vituo mbalimbali vya tafiti za magonjwa ya wanyama na binadamu, mimi naona ina soko katika mantiki hiyo!