microbiology

mdogo wangu I am a major in that field! sori kukuita mdogo lakini hio field nili clear kwa level ya juu several years back. be specific na nitaku advice. Sitaki kuku discourage! Kwasbabu'hela' kwangu sio 'hela' kwako! Lakini hatungii fields za science kutafta 'hela' wangu not in tz and not anywhere else.
 
Kaka Mkubwa hebu tuelezee kidogo naona na mimi ni mdau naipenda hii coz hebu tufumbue kidogo basi tuelezee wewe unavyoifahamu!!
 
nakubali boc kuwa hela isituanye kuenda sayansi ila somtms presha za maisha zinatulazimisha kufanya hivyo, nisaidie ndugu yangu kwanza kufahamu hiyo coz inahusu nini hasa,ugumu wake kwenye kusoma, soko lake la ajira limekaaje na unanishauri ni ijaze yangap kwenye listi ya kozi ninazotarajia kuomba? thx mkuu
 
wakuu naombeni ushauri hii coz ya bachelor of science in microbiology soko lake limekaaje?

ni kozi nzuri sana kwa mtu anayependa tafiti, unaweza ukajiari katika maabara yako mwenyewe, au ukaajiriwa katika vituo mbalimbali vya tafiti za magonjwa ya wanyama na binadamu, mimi naona ina soko katika mantiki hiyo!
 
Thx mkuu,so vp unanishauri niweke chaguo langapi kwenye aplikeshen yangu? Na je ni udsm pekee ndo wanaotoa hiyo coz maana sijaiona kwenye vyuo vingine?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom