Baba Sangara
JF-Expert Member
- Dec 16, 2007
- 293
- 154
Well Welll!... Hongera to the Michuzi blog for the scoop on Didier Drogba's wedding before the Ivorian press has wind of the Mishuzi blog...
MICHUZI: didier drogba ameremetaThe Cote d'Ivoire premier news site...
Abidjan .net | Moteur de recherche multimdia de la Cte d'Ivoire - Ivory Coast - Cote d'Ivoire
Baba Sangara naona hapo vidole vimeteleza kidogo!...has wind of the Mishuzi blog...
Sidhani kama kuna ukweli wa hili. Tatizo letu taaluma zote zimeingiliwa na virusi vya ufisadi. Yaani hata webdesigners nao wanachoangalia ni maslahi yao tu (yaani wale humo humo) badala ya kufanya kazi kwa uadilifu!...
Hawa Ivorians kumbe wametuzidi sana kwenye fani ya web design.
Sidhani kama kuna ukweli wa hili. Tatizo letu taaluma zote zimeingiliwa na virusi vya ufisadi. Yaani hata webdesigners nao wanachoangalia ni maslahi yao tu (yaani wale humo humo) badala ya kufanya kazi kwa uadilifu!
Sidhani kama kuna ukweli wa hili. Tatizo letu taaluma zote zimeingiliwa na virusi vya ufisadi. Yaani hata webdesigners nao wanachoangalia ni maslahi yao tu (yaani wale humo humo) badala ya kufanya kazi kwa uadilifu!
Sidhani kama kuna ukweli wa hili. Tatizo letu taaluma zote zimeingiliwa na virusi vya ufisadi. Yaani hata webdesigners nao wanachoangalia ni maslahi yao tu (yaani wale humo humo) badala ya kufanya kazi kwa uadilifu!
In a way, yes!A very interesting proposition indeed. Kwa hiyo unataka kusema talentedness, ingenuity and creativity are all being held back by ufisadi?
Sawa lakini si wote!Pamoja na ufisadi nafikiri pia Watanzania tuna kasumba ya kuridhika na tulichonacho.
Nafikiri talents tunao tena wazuri tuu. Tatizo wamepoliticised talents zao. Njaa nazo zinachangia. Na sio kwa web designers au waandishi wa habari tuu. Hata kwenye fani nyingine kama wanamuziki na comedians. Nafikiri tuliona mengi kwenye kampenni za uchaguzi uliopita.
Nakubaliana na uyasemao. Manaake nakumbuka mwaka 1969 tuliishangilia Yanga sana (sintosahau) ilipofika robo fainali ya kombe la Africa walipocheza na Asante Kotoko ya Ghana. Wakati ule tulikuwa na wachezaji kama Salehe Zimbwe, Maulidi Dilunga na Kitwana Manara. Kiwango cha soka kilikuwa juu sana lakini baada ya TANU kulazimisha kwenye kila timu kuwepo na tawi la chama (kuchanganya michezo na siasa) fani ya michezo yote ilianza kuzorota (mid-70's).Nafikiri talents tunao tena wazuri tuu. Tatizo wamepoliticised talents zao. Njaa nazo zinachangia. Na sio kwa web designers au waandishi wa habari tuu. Hata kwenye fani nyingine kama wanamuziki na comedians. Nafikiri tuliona mengi kwenye kampenni za uchaguzi uliopita.
Nakubaliana na uyasemao. Manaake nakumbuka mwaka 1969 tuliishangilia Yanga sana (sintosahau) ilipofika robo fainali ya kombe la Africa walipocheza na Asante Kotoko ya Ghana. Wakati ule tulikuwa na wachezaji kama Salehe Zimbwe, Maulidi Dilunga na Kitwana Manara. Kiwango cha soka kilikuwa juu sana lakini baada ya TANU kulazimisha kwenye kila timu kuwepo na tawi la chama (kuchanganya michezo na siasa) fani ya michezo yote ilianza kuzorota (mid-70's).
Vile vile katika fani ya muziki watemi na magwiji kama Mbaraka Mwinshehe (Morogoro Jazz na mtindo wa Likembe Mahoka), Shem Karenga (Tabora Jazz na mtindo wa Segere Matata) au hata Wema Abdallah (Western Jazz na mtindo wa Saboso) waliwatetemesha wakongo hata wengine walianza kuwaiga akina Wema na Mbaraka (kitu kilichokua ni maajabu enzi zile). Lakini baada ya bendi kulazimishwa waanze kuimba nyimbo za kisiasa ili waweze kurekodiwa au kurushwa hewani na RTD fani ya muziki ilianza kudidimia na kuporomoka.
Kwa hiyo ukweli ni kwamba vipaji Tanzania vipo, tena vingi, lakini mfumo mzima wa jamii bado una mushkeli. Kipaji cha ufisadi ndio kinachopewa kipaumbele kwa hivi sasa na sio kipaji cha kitaaluma!
Sikatai, lakini kufuta kasumba huchukua vizazi vingi. Kwa mfano, hadi leo hii bado tunayo kasumba ya ukoloni ingawa "tuliagana rasmi" na ukoloni miaka hamsini iliyopita. Vile vile athari za utumwa bado zinatuandama hata baada ya zaidi ya miaka mia nne.Mifano mizuri sana, lakini ukumbuke zama za leo siyo zile za "kidumu" na "saboso", "sendemaa" etc,: lazima mifano iende na wakati bro. Nchi kama Angola na Msumbiji (na hata Uganda) zilizopata vita vya wenyewe vya muda mrefu na jamii kuharibika kwa kila namna, zimeshatupita mbali kwenye taaluma nyingi pamoja na ufisadi mkubwa uliokithiri MPLA na FRELIMO. Hiyo ni mifano miwili tu.
Sikatai, lakini kufuta kasumba huchukua vizazi vingi. Kwa mfano, hadi leo hii bado tunayo kasumba ya ukoloni ingawa "tuliagana rasmi" na ukoloni miaka hamsini iliyopita. Vile vile athari za utumwa bado zinatuandama hata baada ya zaidi ya miaka mia nne.
Angalizo: Naona ka vile unataka kuiponda saboso na sendemaa eti imepitwa na wakati, haya bana. Aisee zama hizo ndio zilikuwa zenyewe basi. Hii mambo mbofu mbofu ya bongo fleva, sijui flava, sijui nini ni wizi mtupu. Jamaa hawaendi na vipaji, yaani ni mashine mashine kwa kwenda mbele. Mtu hajui hata kupiga gitaa au hata kuchanganya tumba eti anaibuka na kutangaza uanamuziki, wapi na wapi?
Hiyo isikushangaze kwa sababu nao wanaishi kwenye national culture. Katika Tz ukitaka excellence utagombana na watu wengi sana. Lakini hili si ajabu kwa sababu linaanzia vyuoni ambapo lengo la mwanafunzi ni kupata cheti na siyo elimu/utaalamu. Wanafunzi wengi wakiishahitimu chuo wanatangaza uadui na vitabu au kitu chochote ambacho ni source ya knowledge. Unategemeaje watoe quality products?Sidhani kama kuna ukweli wa hili. Tatizo letu taaluma zote zimeingiliwa na virusi vya ufisadi. Yaani hata webdesigners nao wanachoangalia ni maslahi yao tu (yaani wale humo humo) badala ya kufanya kazi kwa uadilifu!