Michuzi Blog, hii ni sawa?

Status
Not open for further replies.
Nina imani kabisa michuzi keshaona maoni haya yote yanayotolewa na wadau wa jamiiforums
sasa basi ni kazi yake kuamua kurekebisha au kuacha ikae ilivyo

na sina uhakika saana kama ataiacha kama ilivyo ila atairekebisha kwa maaana hakuna mmiliki wa website au tv au redio au blog kama kaka yangu michuzi atafurahia kutoa tangazo ambalo halieleweki

kaka michuzi kazi kwako

siye ni barua tunabeba ujumbe

thanks
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom