Michubuko njia ya haja kubwa

Michubuko njia ya haja kubwa

kyesha

Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
40
Reaction score
65
Wakuu nina changamoto inanisumbua.

Maumivu wakati wa kujisaidia & baada ya kujisaidia haja kubwa. Kuna Kama michubuko kwenye njia husika inayopelekea maumivu makali.

Miwasho haipo ila ni maumivu makali, hata kukaa kwenye kiti ni maumivu tuu. Mimi ni Dereva saizi ni wiki moja kazini sijaenda. Anayejua dawa msaada please.

Note: Sijawai fanya au kufanyiwa michezo michafu. Mimi nina Muogopa Mungu.
 
Wakuu Nina changamoto inanisumbua,
Maumivu wakati wa kujisaidia & baada ya kujisaidia haja kubwa.
Kuna Kama michubuko kwenye njia husika inayopelekea maumivu makali.
Miwasho haipo ila ni maumivu makali, hata kukaa kwenye kiti ni maumivu tuu,, Mimi ni Dereva saizi ni wiki moja kazini sijaenda..
Anayejua Dawa msaada please

Note: sijawai fanya au kufanyiwa michezo michafu
Mimi nina Muogopa Mungu
NENDA HOSPITALI
 
Mungu amsaidie aliyenipa dawa nikapata uhafueni.
 
Wakuu Nina changamoto inanisumbua,
Maumivu wakati wa kujisaidia & baada ya kujisaidia haja kubwa.
Kuna Kama michubuko kwenye njia husika inayopelekea maumivu makali.
Miwasho haipo ila ni maumivu makali, hata kukaa kwenye kiti ni maumivu tuu,, Mimi ni Dereva saizi ni wiki moja kazini sijaenda..
Anayejua Dawa msaada please

Note: sijawai fanya au kufanyiwa michezo michafu
Mimi nina Muogopa Mungu
Yani wewe mwenyewe hujiamini.
Iyo ni bawasiri wahi hospitali inatibika acha kuwaza ujinga.
 
Wakuu Nina changamoto inanisumbua,
Maumivu wakati wa kujisaidia & baada ya kujisaidia haja kubwa.
Kuna Kama michubuko kwenye njia husika inayopelekea maumivu makali.
Miwasho haipo ila ni maumivu makali, hata kukaa kwenye kiti ni maumivu tuu,, Mimi ni Dereva saizi ni wiki moja kazini sijaenda..
Anayejua Dawa msaada please

Note: sijawai fanya au kufanyiwa michezo michafu
Mimi nina Muogopa Mungu
Mkuu Moja ya chanzo cha bawasiri(HEMORRHOIDS) Ni kukaa kwa Muda mrefu,sasa kulingana na kazi yako ya udereva hapa Kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuwa na bawasiri,kawaone wataalamu
 
Wakuu Nina changamoto inanisumbua,
Maumivu wakati wa kujisaidia & baada ya kujisaidia haja kubwa.
Kuna Kama michubuko kwenye njia husika inayopelekea maumivu makali.
Miwasho haipo ila ni maumivu makali, hata kukaa kwenye kiti ni maumivu tuu,, Mimi ni Dereva saizi ni wiki moja kazini sijaenda..
Anayejua Dawa msaada please

Note: sijawai fanya au kufanyiwa michezo michafu
Mimi nina Muogopa Mungu
Usiseme haujawahi pitiwa njia ya kuelekea sodoma kuna ambao wanapoteza fahamu kutokana na majini na mashetani wanapakua mbolea na wengine wanapigwa au kupiga vilevi na jicho la shetani linaliwa.
Nashauri kawaone wataalam wa afya watakusaidia zaidi na huku ukiepuka kula vitu vigumu, kunywa maji na matunda na epuka kukaa kwa muda mrefu na mazoezi ya kutembea japo kwa nusu saa
 
Wamesha kometi ujinga
Mkuu hilo ni tatizo b
Sio bawasiri
Wewe ni dereva maana yake unakaa kwa muda mrefu'si ajabu kula yako sio sahihi sana kutokana na kazi yako,ukienda kunya unahisi maumivu,ukikaa unahisi maumivu,huenda ukiwa unatomba pia unahisi dalili za maumivu,ila unasema sio bawasili....HAYA ENDELEA TU NA UBISHI MKUU.
 
Back
Top Bottom